Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Sidhani kama hapa, tunaongelea utajiri.Utajiri ni mtego!
Ukiona umepewa uwezo wa kifedha ujue hizo sio zako bali za wakosaji. Ila wengi hupuuzia hili makusudi tu. Imagine mtu una miaka 80 unafisadi pesa ambazo zingesaidia watoto wasioijiweza.
Sometimes I think we don't deserve this world kwakweli...Tumeumbwa tusaidiane na kula kwa kugawana kidogo tupatacho ila sasa tunavyoishi heri wanyama.
".........Tunatoka wapi tunakwenda wapi, Ona tulivyomgeuka muumba wetu! hatukumbuki Mungu ametuumba kwa makusidi gani"😢
Hapa issue ni kumudu gharama za kawaida za maisha.