MLANDIZI wamekata ... wakaijisahau wakaurudisha... wakakumbuka... wamekata tenaTunajenga nchi...
Kigamboni naona manyoyaUmeme ulikuwepo leo, mida hii ya saa tisa tanesco wamepita nao. Vp eneo uliopo umeme upo?
Halafu huu unaowaka Zanzibar unatokea hapohapo Dar.Dar es salaam umeme kaput.
Hadi fumba kile kisiwa alichouziwa Bakhresa upo.Kizimkazi upo?
ilaππππNgoja nimuulize mwa J wa mbagala, mbwa yule aliniambukiza uti grade 1 gizani umeme ulipo katika..π