Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

Hata huku kwangu wamekata. Yaani dah!

IMG-20240201-WA0108.jpg


IMG-20240203-WA0107.jpg
 
Manzese, uwanja wa fisi hapa umeme hakuna, feni haiwaki napiga show jasho linanitoka kwelikweli.
Nipo nje hapa napiga upepo kidogo niingie round ya pili.

Tanesco rudisheni umeme aisee, biashara inakua ngumu kwa hawa dada zetu.
 
Back
Top Bottom