becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
I love you too...πilaππππ
ππππ nakupenda zaidiI love you too...π
Dodoma toka saa tatu asubuhi. Sababu iliyotolewa wanafanya maboresho. Ilikuwa waurudishe saa 11 jioni lakini kwa sasa Jiji lote hakuna umeme sababu ya matatizo katika Grid.Umeme ulikuwepo leo, mida hii ya saa tisa tanesco wamepita nao. Vp eneo uliopo umeme upo?
tatizo linafanyiwa kazi usiku na mchana,Umeme ulikuwepo leo, mida hii ya saa tisa tanesco wamepita nao. Vp eneo uliopo umeme upo?
Tena feni kuna kipindi inadunda, labda upige viuno vya SLOW BUT SURE, ila ukipiga mbuno za kiHARDCORE feni haifui dafu.Yaani watu wa dar mnatia huruma kinomaππ
Bila feni au ac hakuna mizagamuano
MLANDIZI wamekata ... wakaijisahau wakaurudisha... wakakumbuka... wamekata tena
Hameni huko hapafaiπTena feni kuna kipindi inadunda, labda upige viuno vya SLOW BUT SURE, ila ukipiga mbuno za kiHARDCORE feni haifui dafu.
Inabidi upige aste aste.. ππ€£
πππππ
UToaji wao wa taarifa ni wakipuuzi sana sina hakika kama hii TV itawaka maana kitu ilichofanya namashaka makubwa sanaWana test mitambo