Huu umeme wamekata nchi nzima?

Huu umeme wamekata nchi nzima?

1706979593844.jpg
 
Ulipo umeme upo?

Maana naona mikoa kadhaa wanasema umeme hakuna.

Njombe, Mara, Tanga, Arusha, Mwanza na Dar hakuna umeme.

Tanzania ya viwanda hii
View attachment 2893059
Kwani siwaruhusu mashika mengine ya umeme yajekuwekeza kama walivyofanya kwa TTCL, wanang'ang'ania shirika la nini akati hawawezi kuliendesha. Mi naona iwehivyo tu kama sim ikizingusa Airtel unahamia voda na umeme iwehivyo hivyo. Karne ya 21 tunachanzo kimoja tu cha umeme kweli.?!
 
Kanda ya Ziwa na kaskazini karibu kote..
Ni tatizo dogo, kuna Samaki ameingia kwenye turbines inashindwa kuzunguka.
Hahaha mkuu kama kwenye HEPs zinazotegemea Mito na Mabwawa hadi Mamba wanaingia kwenye turbines na wanasagwasagwa huyo samaki atakuwa ni wa namna gani
 
Hahaha mkuu kama kwenye HEPs zinazotegemea Mito na Mabwawa hadi Mamba wanaingia kwenye turbines na wanasagwasagwa huyo samaki atakuwa ni wa namna gani
Hao ni wakubwa hawapiti kwenye control gate/intake
Kwa taarifa yao ni kwamba kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa wameona samaki aina ya kibua ameng'ata propeller ya turbine.
 
Jipige kifua na kujiambia hongera kwa kuishi nchi ya ulimwengu wa tatu. Hatuna sababu ya kulalamika as tunajua tupo shithole country.
 
Umerudi kama dakika 15 nyuma, lakini huwezi sikia waziri kajihudhuru afrika waje watutawale tu.
 
Bwana mmoja wa kuitwa ChoiceVariable aliwahi kusema, "viwanda vimezidiwa na uzalishaji ndio maana umeme umekuwa mdogo, kipindi cha JPM viwanda havikuwa vinazalisha ndio maana hakukuwa na mgao". Mtu wa hivi kapewa access ya kutoa maoni yake jf.
 
Back
Top Bottom