Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

Pole mdada !Ni changamoto sana, hii huleta nuksi kweny mila za kiafrica watoto wamechangia baba au mama , ule uhusiano wao unakuwa na matatizo mwanzo mwisho.
 
Kwa mbeleni sijui ila kwa sasa wadogo zangu nawapenda sana! Yani hamna wa kuingia kati sio hata mpenzi wangu! Me nahisi mfumo wa familia/ukoo una nafasi yake kuamua ndugu mtaishi kwenye mahusiano ya aina gani!
 
Pole Sana
 
Kijana wa jirani anamla house girl wangu nifanyeje na jirani wa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…