safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Wanawake nao wana mchango mkubwa sana katika jambo hili.View attachment 1976415
Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika.
Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku akichemka kwa hasira.
Matatizo mengi ya mahusiano yanasababishwa na mawasiliano mabovu. Mdomo unepewa ili uweze kuwasiliana kirahisi. Kama mwenzako ana hasira tafuta jinsi ya kufikisha ujumbe umpate na aelewe kuwa ana kukera.
Kama unashindwa kuongea nae tumia texted massage, tumia mtu unae muamini afikishe ujumbe au hata barua. Tujifunze kuwasiliana katika mahusiano.
Haiwezekani mtu umechelewa kurudi unakausha tu hausemi kwa nini umechelewa yaani unatake easy kana kwamba hakuna kitu kichobadilika,kumbe uungwana unatakiwa useme kabla haujaulizwa na mumeo,ukijifanya kukauka kama hakuna kilichotokea hapo shida ndipo huanzia.
Lakini pia wanamke mzima anashindwa kujua kwamba mumewe anakereka akiwa anachati na simu huku yeye akiwa anataka kampani eti mpaka mume aseme,wakati ni wazi kwamba mweznio akitaka muongee usishike simu.
Mwanamke mzima anashindwa kujua kwamba mume anataka mikao mingi na sio kifo cha mende tu,ukisema umuambie ananuna anaona umemdharau na kusingizia wanaume watumie hekima wakati wanandoa inatakiwa vitu kama hivyo wawekane wazi.
Mwanamke eti anajifanya hajui kabisa kwamba mume anahitaji mke mtundu kitandani mpaka aambiwe kwamba shughulika,haaaa hiii sio saaaaawaaa.
Wanawake wajiongeze bwaanaa kuna mambo kweli yanahitaji tuseme kwamba hili na lile hatutaki lakini mengi sana wanawake wanatakiwa wajiongeze wao maisha yatabadilika sana katika ndoa nyingi.