Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

Mara nyingi wanawake wengi wanavichwa vizito sana kupitiliza.Mara nyingine mwanaume anaamua kujikalia kimya kwa sababu ameshajua mkewe mzito kuelewa hivyo atamsha malumbano yasiyo ya msingi.mwisho ataitwa ana GuBu
 
Hao wanaume wa kukaa kimya wanapatikana wapi? Huyu wakwangu ataongea tu hata iwe saa kumi usiku atahitaji maelezo yaliyo kamilika.
 
Mwanaume hajaumbiwa maneno mengi kama mwanamke. Mwanamke huchukua jambo, hulitafakari na kuchukua hatua thabiti.Nadhani ndiyo sababu ya wanaume wengi kifa mapema. Maana wanaume hawapo tayari kuonyesha udhaifu au kuyumba yumba katika maumivu,Huvumilia na kuugulia moyoni.Ila atakapochukua hatua, basi ujue hiyo ni final.
 
Mkuu tunaambiwa wadhaifu kwa upole wetu
 
Sisi tuna namna yetu ya kuongea ambayo ni very effective kuliko mdomo.
 
Inategemea, kuna wanawake wengine, wewe una neno moja yeye elfu moja,kuna mambo mengine mtu anavunga kuepusha kelele.. na sababu nyingije kedekede.

Unaposema hivyo maana yake umejumuisha kuwa wanaume woote tuna tabia moja, kitu ambacho hakipo hivyo
 
Mkuu tunaambiwa wadhaifu kwa upole wetu
Kuwa mpole au mvumilivu au mtu mwenye upendo au mtu mwenye kusamehe sio udhaifu, hii ni ideology ambayo Lucifer(ibilisi) ametupandikizia kichwani ili tushindwe kufanana na muumba wetu

Note; the more unapofanana na MUNGU the more u become strong not weak....
Na kufanana na MUNGU sio topic ya kujifunza wiki nzima, hapana ni kuwa na upendo tuu(ila kupata huo upendo sio rahic kama tunavofikiria)

-sisi kama wanaume kiumbe cha kwanza kufinyangwa na mikono ya Muumba wetu.... tumeumbwa katika ukamilifu wa upendo, sema kwa Bahati mbaya ubinasfi uliingia moyoni mwa Adam baada ya kumuona Eva amekula tunda na kutenda dhambi, baada ya hapo mambo yakawa sio mambo tena
 
Kuna ishi ya kutojiamini,lakini pia kuna suala la kukwepa kuonekana una gubu kwa kusema kitu kimoja mara nyingi nyingi.
Mara nyingi wanaume( hususan mimi) tukianza kukaa kimya kwa vitu vile vile ambavyo mwanzo tulikua tukipigia kelele ujue tumepata "alternative" 😉
 
Chart [emoji409]

Chat [emoji3581]
 
Kweeeeeeeeeeeeeliiiiiiiii hasa hapo uliposema mdomo kama kenge.
 
Mwanaume ni kujikausha

Mwanaume ni kuivilia ndani kwa ndani [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee huu uzi umeupenda, ingawa sijapata jibu sahihi kuwa uanaume bora ni ule wa kumchana makavu au ni ule wa kunyamanzia vitu na kuchukua hatua kimnya kimnya, asanteni kwa michango yenu leo nimejitambua kwa kiasi vile inanipasa mimi kuwa.
 
Kuna wanawake wenye matatizo haya pia. Hasa mwanaume anapokuwa main breadwinner anatoa tu amri hamna muda wa kujadiliana.
Katika vitu sipendi ni sijui majadiliano na wife au sijui nn nn aisee bora uitwe mkoloni
 
Wanawake wana vitabia vya kupenda kujaribu jaribu ukinyamaza inakuwa tabia halali Kwa kudai mbona siku Ile nilikuwa nafanya hivi hukusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…