Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

Binafsi mm nikiulizwa tu na mke au mchepuko UPO WAPI kama ni mchepuko ajue tushaachana kama ni wife nisimkute nyumbani kwangu
 
Lakini pia ikumbukwe toka kuumbwa Kwa Dunia hii usaliti mkubwa na mbaya umefanywa na wanawake dhidi ya wanaume zao tafadhari rejerea hadithi zifuatazo

1. Bi eva dhidi ya bwana Adam
2.Bi.Delila dhidi ya ndugu Samson
3.Bi.Stella dhidi ya ndugu fresh mwamburi
4 hata Ile ya princess Diana dhidi ya prince wa wingereza

Wanaume ni wavumilivu, wenye mapenzi na wasiopenda marumbano hio tabia zetu Kwa hio basi ni wazi na kweli
Kuwa WANAUME WOTE NI WAAMINIFU WAPENDA HAKI NA WENYE UPENDO . Hii inathibitishwa katika visa mbali mbali kikiwamo

1.Titanic (utajifunza uaminifu, ukweli na kujali Kwa mwanaume
2.ndugu zangu wababa mtanisaidia kutoa mifao
 

Huyo aliyelala hapo kando sio MWANAMUME.------ Mwanamume huwa hashindwi kusema. (Kazi ya limbwata hiyo).

Na nyie mpunguze LIMBWATA.
 
Cha ajabu hata kama mkisemwa kwa kuambiwa ukweli mnajifanya kuja juu,hivyo basi kukaa kimya wakati mwingine tunaepusha mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…