This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Umekula lkn. Na chai umekunywa?Mtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
Nendeni mkashitaki FIFAJana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Hata kama ila sio kwa mapengo yote yaleSold out na uwanja kujaa ni vitu tofauti⦠Ukiangalia mazingira ya jiji, Ni rahisi mtu kununua ticket ila mda wa kwenda uwanjani anaghairi.
Pia watu hununua ticket kwajili ya kuziuza kwa bei ya juu, wakishindwa kuzimaliza ni wao. Ila hesabu ya simba ziliisha
Af naskia kuna ticket walinunua utopolo wakazichoma ili tu uwanja usijae
[emoji23][emoji23]eti upende, usipendeMtatafuta kila sababu lakini wenye akili tunasema kuwa hakukuwa na sold out wala taratibu za FIFA,tuliokuwa Uwanjani tulishuhudia ilipofika saa kumi na moja kasoro kulikuwa na fungulia Mbwa ya kufa mtu,yeyote aliekuwepo maeneo ya nje ya Uwanja alilatakiwa aingie ndani apende asipende.
Hii picha ya muda gani mtani..
Leta ushahidiUJINGA ni KIPAJI.
Bora Muwe mnatutag TUNAWAFUNDISHA.
IPO Hivi...
Simba waliuza Tikert zoooooteeeee.
Baadhi ya Ticket zilinunuliwa na Walanguzi.
Mtu mmoja ananua tiketi 100@7000
LENGO lake ni kwenda kuziuza kwa 15000/=
WATU WALIPOSIKIA SOLD OUT WAKAOGOPA KWENDA KUNUNUA KWA WALANGUZI WAKIHOFIA TIKETI FEKI.
CHUKUA HIYO
Sasa we unategemea mpira unaanza saa kumi na mbili niende uwanjano saa Tisa itanisaidia Nini..Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Wajinga sana hawa wataalam wa sold out...
Hivi hii ya kuzuia watu lisa kuna kiongozi mkubwa kashaingia, hua inatangazwa kabla au mtu unakutana nayo kama suprise ? Maana tunajua bongo mteja /raia hathaminiwiMtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Uwanja haukujaa uwezo huo hawana, wanaleta hadithi za abunuasiJana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Hata mdhamini wenu wa jezi amefanya hivyo amenunua tickets kwa elfu 7 alafu yeye pale dukani kwake alikua anaziuza kwa elfu 20 mpaka watu walikua wanalalamikaUJINGA ni KIPAJI.
Bora Muwe mnatutag TUNAWAFUNDISHA.
IPO Hivi...
Simba waliuza Tikert zoooooteeeee.
Baadhi ya Ticket zilinunuliwa na Walanguzi.
Mtu mmoja ananua tiketi 100@7000
LENGO lake ni kwenda kuziuza kwa 15000/=
WATU WALIPOSIKIA SOLD OUT WAKAOGOPA KWENDA KUNUNUA KWA WALANGUZI WAKIHOFIA TIKETI FEKI.
CHUKUA HIYO
Pamoja na kuwa mpira wetu wa kiwanjan umeendelea, kwa maana ya wachezaji tulionaeo au tunaowaleta.. bado nje ya uwanja kwenye mitazamo ya wapenz na washabiki tuko nyuma sana,, mihemuko inatuongozo na bahat mbaya utaona media ambazo zinapaswa kuwa walimu wa kuwasogeza mashabiki na wapenz wa mpira kwenye fikra za kisasa na wao wanachochocheaJana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.