mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.