Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am just talking what I know na kuamini.Aya yako ya kwanza hapo mwisho unahisi utapigwa, sasa kama hofu ishakutangulia unachotaka ni nini?
Asante kwa ushauri mkuu,na kwa maoni ya wadau wengi huko juu naona kupigwa ni 80% na kupata ni 20kuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh!![]()
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!
😥Bora mtfe
Nenda kajaribu sasa huo ulaji wa hatariKuna Dada yangu katoka kunipa mchongo Huo kama nusu saa imepita nakuja humu naona Uzi wake.Ananiambia huko Mtfe Kuna ulaji wa hatari.
Siku za Loss zitakua nyingi kuliko siku za faidayaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
Kwenye hizi biashara early adopters ndio wanafaidikaHabari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
siku za loss, ndo una minus hiyo faida mara mbili, Risk za kupoteza huwa zipo, kama una intention ya kufanya, hauwezi kuogopa loss.Usisahau kila kitu kwa kusema huwa ni rahisi, ila kiuhalisia hakuna kazi rahisi.yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
Kumbe unalijua ilo !!!kwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
Asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga ndio maana kutapeliwa Huwa ni rahisiHabari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.