mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
kakupeleka nani? Kahimba?Habari zenu wataalamu,naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi uenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online Kisha unaziuza.mfano ukiwekeza Tsh mil.1.3 unapata faida kwa siku tsh.15000-25000.Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio Jambo nisilotaka kwa sasa.Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu mtiririko nijue mbichi na mbivu
utapeli unakuwaje mkuu,funguka hapa kwa faida ya wengiHii kitu ni kwel ila ndani yake kuna utapeli wakutisha.
kwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???Ni suala la muda tu kabla kilio kusikika……!
asante mkuu kwa tahadhaliUtaliwa tuuu, niko hapa.
Hiyo ni faida au marejesho? Utapigwa hadi akili zikae sawa.Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
Bora Qnet unanunua bidhaa unaiona na ukikwama unaambulia bidhaa yako. Hiyo nyingine ni autaPeli tu.kwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwaHiyo ni faida au marejesho? Utapigwa hadi akili zikae sawa.
Bora mtfekwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
Wakati huo mtaji wako unakuwa usharejeshewa?yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
kuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh![emoji57]Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Pesa nazipenda sana ila pia kupoteza pesa zangu ndio jambo nisilotaka kwa sasa.
Naomba wataalamu wenye fununu na hii kitu wanisaidie mtiririko nijue mbichi na mbivu.
Asante kwa ushauri mkuu,na kwa maoni ya wadau wengi huko juu naona kupigwa ni 80% na kupata ni 20%kuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh![emoji57]
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!
MKUU UNAHARIBU BIASHARA ZA WATU UJUEkuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh![emoji57]
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!
Mna moyo sanaHabari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.