Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍
 
JAMANI MTFE TAYARI KIMEUMANA HUKO, HAKUNA WITHDRAW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SISI TULIWAAMBIA MKATUONA KAMA WAJINGA HAYA TAYARI HUKO MAMBO YAMEANZA KUJIPA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji106][emoji106][emoji106]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuskia kwa kenge,MDA wake huu[emoji28]
Kitambo sana Toka 8th August.
Washatulia wanajipanga kuibiwa tena
Wale wajinga Wana Akili nyingi Sana
Yani $1.3B yote wameifokoa.
Na Bado wakaweka na deni.
 
MTFE ni kizuka( Roboti) unampa hela anakufanyia biashara mtandaoni.Unadanlodi mifaida tu[emoji1][emoji1][emoji1].Kwa lugha rahisi ya kiswahili sanifu MTFE ni kizuka (Roboti) mtoa hela .
[emoji28] aisee
 
Tupe mrejesho
 
Kitambo sana Toka 8th August.
Washatulia wanajipanga kuibiwa tena
Wale wajinga Wana Akili nyingi Sana
Yani $1.3B yote wameifokoa.
Na Bado wakaweka na deni.
Kuna dada mmoja Ni mwalimu,
Alikuja dukan kwangu kunihamasisha huo ujinga, nikamcrash Hadi kanitukana sipend mafanikio yake[emoji28]
 
Haha nachomshukuru Mungu aya madude nakujaga kuyafahamu wakati watu wanalia na kusaga meno hivi uwa mnakutana nayo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…