DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji28][emoji1787]Kama changamoto za kuwithdraw zimeanza, basi ujue kinaelekea kuumana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji1787]Kama changamoto za kuwithdraw zimeanza, basi ujue kinaelekea kuumana
Hahahah Hatimae yametimia 🤣🤣🤣🤣Ni suala la muda tu kabla kilio kusikika……!
🤣🤣🤣Utaliwa tuuu, niko hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍kuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh![emoji57]
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuna update Mifumo yetu ya withdrawal mtuache[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji106][emoji106][emoji106]JAMANI MTFE TAYARI KIMEUMANA HUKO, HAKUNA WITHDRAW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SISI TULIWAAMBIA MKATUONA KAMA WAJINGA HAYA TAYARI HUKO MAMBO YAMEANZA KUJIPA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuskia kwa kenge,MDA wake huu[emoji28]Kimeumana kwenye withdrawal wanalia
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]kishaumana huko
[emoji1787]
Kitambo sana Toka 8th August.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuskia kwa kenge,MDA wake huu[emoji28]
[emoji28] aiseeMTFE ni kizuka( Roboti) unampa hela anakufanyia biashara mtandaoni.Unadanlodi mifaida tu[emoji1][emoji1][emoji1].Kwa lugha rahisi ya kiswahili sanifu MTFE ni kizuka (Roboti) mtoa hela .
Labda uwe mwenyewe,vijana wamjizima data mazima.Hiyo hela nunua boda mpe kijana akuletee 8000 kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Hawa mtfe ni wezi wasio na adabu[emoji1787]
Mkwanja wametupiga na bado wanatutisha!View attachment 2721982
Tupe mrejeshoHii kitu sio utapeli na mm nimekata shauri kujoin. Naanza na laki2 then nitaenda milion 8 na baadae nitaenda hadi milion 30 ndo target yangu.
Here are my plan
Laki2 naweka zangu za kujichanga nitafanya 2 months then naenda kuuza deni la bank nitaliuza 20 mil halaf difference ya 8 mil naiweka yote. Nitaclear den ndani ya mwaka mmoja coz nakatwa kwenye salary na nitakuwa narejesha nje ys mfumo polepole, nitakopa tena 25mil zote naziweka na ndani ya mwaka nitarudisha den then nabski kula faida
Huu sio upatu bali ni biashara ya kuuza dolar na kununua tena hela wanayotoa ni ndogo sana si ajab jamaa wanakula hela ndefu kuliko wanayokupatia sababu ukitrade mwenyewe vizuri unapata zaid ya hiyo. Mm nna jamaa yangu huwa anazungusha elf f50 tu ila kila siku anaingiza either elf 50 ama sio chini ya 20. Ila wao wanatumia AI kutrade hivo ni vigumu sana kupata hasara
Kuna dada mmoja Ni mwalimu,Kitambo sana Toka 8th August.
Washatulia wanajipanga kuibiwa tena
Wale wajinga Wana Akili nyingi Sana
Yani $1.3B yote wameifokoa.
Na Bado wakaweka na deni.
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupe mrejesho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaijeria sio Watu wazuriTumekoma jamani haturudii tena[emoji23][emoji23]...
Michezo ya kijinga jinga sana.Kuna dada mmoja Ni mwalimu,
Alikuja dukan kwangu kunihamasisha huo ujinga, nikamcrash Hadi kanitukana sipend mafanikio yake[emoji28]