Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Nch sahv ina wajing wengi sana

Acha watu wajipigie tu

Ova
 
Isije ikawa kama hawa smart retail watu wame invest muda umefika pesa hazitoki . Hawa naona wao wanatoa mpunga hatujui huko mbele ya safari mambo yayakuwa je
Mtfe nao wezi wameibia watu tayari
 
Haha nachomshukuru Mungu aya madude nakujaga kuyafahamu wakati watu wanalia na kusaga meno hivi uwa mnakutana nayo wapi?
Haukutani nao isipokuwa mtu wako wa karibu ndiye msaliti wako wa ridhaa.

Iwe ni mke, mme au jamaa ambaye mko na ukaribu naye sana ndiye atakumotivate ni rahisi kumuamini.

Ni mara chache sana kukutana na tapeli njiani akakushawishi na kukuingiza kingi.
 
Baada ya kupigwa Mtfe bado hatukomi, kuna nyingine ya kuitwa ELusdt, tunaokota dola huko mwezi wa 3 sasa!
 
Tatizo hao watu wanaoanzisha hizo mutual funds organisations ,ni wapuuzi ,
Wangekuwa wanakusanya pesa hizo na kuanzisha miradi ya uzalishaji halisi ambayo inaweza generate income over time na ndio hapo sasa mradi mfano kiwanda au miradi ya kilimo na ufugaji ikiwa imeshaanza kusimama na kuzalisha faida ndio waanze kupata gawio sasa hao waliowekeza pesa zao , ila sio hizo get rich income schemes wanazotumia hao wapuuzi kuwarubuni wananchi wasiotumia akili .

Mimi nadhani kama wangetokea watu au organizations zenye maono kama hayo tungepiga hatua sana wala serikali isingekuwa inapata shida ya kulalamika mapato au wawekezaji ,maana kupitia hiyo njia tungetemgeneza na kukuza local companies na kukuza uchumi wa ndani na mwananchi kwa ujumla , uchumi unaomilikiwa na raia wa Tanzania bila kujali hali zao za kimaisha . /Inclusive economy .

Mfano watokee watu wenye skills na uaminifu jinsi ya kuanzisha na kuendesha mradi mfano wa kiwanda cha kusindika bidhaa kama sabuni , hao wanaanza kukusanya pesa ndogo ndogo hizo toka kwa wananchi ambao hao wananchi wanakuwa kama share holders na wanapewa documents zote za kisheria za umiliki wa hisa za uwekezaji sio ukanjanja ,wanakuwa Wana hisa wa mradi kulingana na uwekezaji wao , so mradi unajengwa na unaanza kufanya kazi then baada ya kuanza kupata faida na kusimama wenyewe ndio sasa contributors wa mwanzoni wanaanza kupata magawio kulingana na uwekezaji wao na hapo hapo bado wanaweza join wawekezaji wengine au contributors WA mwanzo kuongeza hisa zao ili kuruhusu expansion ya mradi au kukuza mradi .

Hii ingekuwa njia bora sana ya kuendeleza local economy .
Kwa wenzetu ndio jinsi makampuni yanavyoanza na kukua siku hizi ,hamna mtu anayeingia mfukoni mwake na kuanzisha kampuni kwa pesa yake ya mfukoni ,ila humu Bongo kwa vile exposure ni zero basi ni tabu tupu
 
Si nilisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…