Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
๐๐๐๐๐Utaliwa tuuu, niko hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Utaliwa tuuu, niko hapa.
Kupigwa ni kama kuf*rwa hausemi unajifanya umewakwepa.
Mtfe nao wezi wameibia watu tayariIsije ikawa kama hawa smart retail watu wame invest muda umefika pesa hazitoki . Hawa naona wao wanatoa mpunga hatujui huko mbele ya safari mambo yayakuwa je
Mbona tajiri[emoji28][emoji28][emoji38]Mheshimiwa Tajiri Karibu Jukwaani kwa Mrejesho.
Derpond huna stori ya ma jay[emoji28][emoji1787]
Haukutani nao isipokuwa mtu wako wa karibu ndiye msaliti wako wa ridhaa.Haha nachomshukuru Mungu aya madude nakujaga kuyafahamu wakati watu wanalia na kusaga meno hivi uwa mnakutana nayo wapi?
Tupe link sababu ni mpya tunaweza kuambulia vipesaBaada ya kupigwa Mtfe bado hatukomi, kuna nyingine ya kuitwa ELusdt, tunaokota dola huko mwezi wa 3 sasa!
Type link sababu ni mpya tunaweza kuambulia vipesa
Ngoja nikaweka mipesa labda naweza nikaja kuinunua jf!
Hahaha, ni kujilipua mkuu, mi nimejilipua nasubiri huruma ya wenye platform yao tu ila so far nisharejesha changu ndani ya siku 14 tuNgoja nikaweka mipesa labda naweza nikaja kuinunua jf!
wamesaidia wengine kujifunzaVipi Kwa Sasa Una Maoni gani baada ya watu Kuibiwa?
Si nilisemakuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh![emoji57]
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!