Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Asante kwa ushauri mkuu,na kwa maoni ya wadau wengi huko juu naona kupigwa ni 80% na kupata ni 20
Bora mtfe
😥
 
Ni kweli nimeshuhudia watu wangu wa karibu wakipata pesa kupitia MTFE lakini asilimia kubwa sio kwa kutrade lakini kwa commission za kualika watu.
Kama una uhakika wa kuweza kuinvite watu zaidi ya 1000 ni kweli utatengeneza pesa,lakini kwa kutrade tu utaambulia kilio.
 
Kwenye hizi biashara early adopters ndio wanafaidika
 
Najazia hapa,
Is MTFE regulated?

MTEF is a regulated broker based in Canada (regulated by FINTRAC) that offers trading of indices, stocks, currencies, cryptocurrencies, and commodities on one platform. MTFE supports manual and artificial intelligence (automated trading) smart trading.
But do it at your own risk,soma uelewe kwanza kabla ya kuingia na kuanza ku trade...
 
yaani ukiweka mtaji wako mfano tsh milioni 1.3 unapata faida Kila siku 15000-25000 japo ameniambia kuna siku za loss hiyo faida inakuwa haipo.mtaji ukiwa mkubwa na faida kwa siku inakuwa kubwa
siku za loss, ndo una minus hiyo faida mara mbili, Risk za kupoteza huwa zipo, kama una intention ya kufanya, hauwezi kuogopa loss.Usisahau kila kitu kwa kusema huwa ni rahisi, ila kiuhalisia hakuna kazi rahisi.
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni wajinga ndio maana kutapeliwa Huwa ni rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…