Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

🤣🤣🤣
 
Wajinga hawaishi ,na mtapigwa hadi akili zikae sawa......Tatizo binadamu ni wabishi sana.
 
SUBRA ni Jambo Adhimu...
Kama kupoteza tushapoteza SANA na BINADAMU tumeumbwa kusahau na KUTHUBUTU...
Mungu awape SUBRA na HERI muivumilie.
 
Mtfe ilianza mwaka jana
Ujinga ubishi usiolazima na kujifanya umachi no ndio tatizo la watanzania...we ndio umeijua mwaka jana....wajanja tunaijua toka 2015
 

Attachments

  • Screenshot_20230816-160439.jpg
    81.8 KB · Views: 5
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utakufaa vibaya wew nakuhurumiaaaaaa...
ningeshakufa toka 2019 ....wewe endelea kuogopa kifo na bado ufe na umasikini wako....kwa taarifa yako niliingia nikaanza na hasara ya ya dola 210, nilichanganyikiwa ila kama sikuwa na moyo wa ufanya biashara leo nisingekuwa nakula faida ya wastani almost dola 250 ndani ya siku tano...hata mtaji niliuonao kwa sasa ni pesa zao tu maana ni faida nilizotoa kutoka kwako pesa zangu nilisharudisha miaka iliyopita... nina zaidi ya miaka miwili nachezea na nguvu tu ya compound interest iliyopo MTFE
 
Rafiki yangu hakuna bank inatangaza kuwa inatoa mikopo kwenye mitandao ya kijamii na hakuna tenda ya serikali inatangazwa kwenye social media. Fursa nyingi zinapatikana kwa kuonana na watu ana kwa ana. Achana na hivi vitu ambavyo vinasambwazwa mitandaoni. Mimi sio tajiri lakini nina uchumi wa kati, watu ndio walionifanya nifanikiwa. Hakuna dili nililopewa au kujifunza mitandaoni. Madili mengi nimejifunza kutoka kwa watu na nashukuru wanarudi na kuniunga mkono zaidi kwa sababu ni nawakumbuka.
 
Achana na utapeli aisee
 
 
Ujinga ubishi usiolazima na kujifanya umachi no ndio tatizo la watanzania...we ndio umeijua mwaka jana....wajanja tunaijua toka 2015
Huo ujanja wako wa kuijua 2015 unekusaidia nini!? We ni pumbavu mno maana umeniletea domain yao iliyosajiriwa 2021 alafu unataka kuniaminisha wapo tangu 2015! Kwa ujinga huo sishangai kusikia UMEPIGWA na hao Mtfe
 
Hiyo miamala unaifanyia wapi!? Leo wamerudisha miamala yote iliyofanywa week iliyopita so usidanganye umma please. Issue ya kuwithdraw mtfe haiwezekani tangu week iliyopita na mpaka sasa hakuna matumaini yoyote
Samahani, utatupa mrejesho kama miamala inatoka au la!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…