Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAJATOA HATA 100 NAKUHAKIKISHIA.. lengo usimuonee Mjingaa wakati kiukweli ni Mjinga wa karneee kapigwaaa huyoooNaomba kuuliza je ni wote waliowekeza hela wamepigwa au kuna waliofanikiwa kuwithdraw? Kuna mshikaji wangu aliwekeza anasema yeye jana alifanikiwa kuwithdraw hajapigwa et baadhi ndio wamepigwa. Nimehisi anaficha nisimuone kalizwa
Hawezi akalizwa huyo. Huyo na hao matapeli huwa wanakua kundi moja ila wanagawana majukumu. Jukumu la huyo na wenzake ni kujifanya ni wateja wanaotoa ushuhuda ili kuwavuta wengine.Utakuja kuleta ushuhuda hapa jambo litakalokukuta
...na wewe uliingia chaka😃?Bora mtfe
Hii ikoje mkuu? 😄😄😄Nasikiaa wanakomba na helaa za Bank piaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
hamna boss sijawahi ingia chaka zaidi ya hawa wazee wa kuangalia matangazo unalipwa sijui status view mara tiktok...na wewe uliingia chaka😃?
Hiyo ni kampuni ya wanaigeria?Wanigeria wabaya sana
Tayari wameliaNi suala la muda tu kabla kilio kusikika……!
Vipi Kwa Sasa Una Maoni gani baada ya watu Kuibiwa?MKUU UNAHARIBU BIASHARA ZA WATU UJUE
Mheshimiwa Tajiri Karibu Jukwaani kwa Mrejesho.Hii kitu sio utapeli na mm nimekata shauri kujoin. Naanza na laki2 then nitaenda milion 8 na baadae nitaenda hadi milion 30 ndo target yangu.
Here are my plan
Laki2 naweka zangu za kujichanga nitafanya 2 months then naenda kuuza deni la bank nitaliuza 20 mil halaf difference ya 8 mil naiweka yote. Nitaclear den ndani ya mwaka mmoja coz nakatwa kwenye salary na nitakuwa narejesha nje ys mfumo polepole, nitakopa tena 25mil zote naziweka na ndani ya mwaka nitarudisha den then nabski kula faida
Huu sio upatu bali ni biashara ya kuuza dolar na kununua tena hela wanayotoa ni ndogo sana si ajab jamaa wanakula hela ndefu kuliko wanayokupatia sababu ukitrade mwenyewe vizuri unapata zaid ya hiyo. Mm nna jamaa yangu huwa anazungusha elf f50 tu ila kila siku anaingiza either elf 50 ama sio chini ya 20. Ila wao wanatumia AI kutrade hivo ni vigumu sana kupata hasara