.Safii Kaka njaa tu niazime buku bas
Dah Inasikitisha mkuu bando umetoa wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Safii Kaka njaa tu niazime buku bas
Elimu bila malipoHawa watu eti nipeleke mtoto majohe praimari akaiibiwe na wanaoza viungo vya watootoo🤣🤣🤣
Tatzo labda ulikimbia hklNakuambia ukweli kabisa ndo leo 😅😅😅😅
Natumia WIFI Kaka Bolotoba.
Dah Inasikitisha mkuu bando umetoa wapi
Linawaka hadi mifukoniJua kali sana ndugu yangu 😄😄
😅😅😅😅😅Tatzo labda ulikimbia hkl
Wameshtuka mapema🤣🤣 ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.
Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.
Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.
Sawa, Ngoja tusubirie wajukuu wa bakhresa waje mikorochini praimari
Never bro, never.Mdogo wangu we kama unataka kumrudisha mtoto wako Kayumba wewe mrudishe tu hujachelewa na Hakuna ubaya wowote . Na mtoto wako atafika Hadi Chuo kikuu,sema Amen
We kweli kiazi kwaiyo unadhani kuna sehemu utakuta watoto Bakhresa wanapanga foleni kwenye interview ya kuomba ajira ya mshahara wa laki 7 au wanalilia Boom pale Udsm kama nyie.🤣🤣 ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.
Acha mambo ya kupigisha watu stori kwa kutunisha misuri ya typing fingers kuwa wanaosomesha em na international schools eti wana poteza muda.
Hata sisi tunapigika na "njaa-nuary" hii ila hauwezi kuta tunageuza wali kuwa ugali humu.
Sawa, Ngoja tusubirie wajukuu wa bakhresa waje mikorochini praimari
Whatever the case!!!Kuna english medium na international school jamani. Msichanganye madesa hapa.
Ofcoz mimi ni kiazii, lakini sizidi anaetoa mtoto em anapeleka kayumba wakati anaetembelea gari zuri na aanakula malaya barWe kweli kiazi kwaiyo unadhani kuna sehemu utakuta watoto Bakhresa wanapanga foleni kwenye interview ya kuomba ajira ya mshahara wa laki 7 au wanalilia Boom pale Udsm kama nyie.
Huo mfano badilisha.
Wew somesha EM umenyeke kisawasawa alafu badae mtoto aje kuwa Winga kama mimi apa.
Ila Uwinga unalipa😀
huwezi kufaham mtoa mada ameshafanya uchunguzi viongozi wote wa nchi na mabolozi wamepitia huko EM ndo maana anajaribu kutukumbusha...kwa tathmin aliyoifanya amegundua ukimsomesha mtoto EM kutoboa maisha ni kama kumsukuma mlevi..ila kama analenga matumizi ya pesa tu na kujitofautisha na waviwango vya chini hapo katumia matako kufikiri kuliko kichwa.100% Fact. Mtoa Mada ameshindwa kufikiria kuhusu hili.
Kusomesha EM Sio kipimo cha utajiri
Hivi unafikiri hao decision makers wengi wao walisoma English Medium au International Schools? Angalia historia ya viongozi wengi wa serikali wengi wao wamesomea vijijini.Peleka English medium ama international schools akatengeneze network na watoto wa decision makers. Ili hata kama wewe ni pangu pakavu bhasi yeye atakuwa na pa kuanzia
Hakuna raha ya kuwa na network ya watu ambao mnategemewa na ukoo kuukoa kutoka kwenye umaskini. Sadly, hiyo ndio network ya watoto wa st kayumba ukitoa wale waliosma dhule za vipaji maalum au kubwa za mijini ambapo kuna mchanganyiko
Hakuna ubaya wowote kusoma EM.Kama una uwezo somesha mtoto shule bora in fact kila mtu anataka kitu bora maishani.tuliosoma english medium sijui tutaweka wapi sura zetu tusipokuwa matajiri madiaspora
Sio makalio, ni nyeti za kuku.Wahenga wana msemo "acha upepo uvume tuone Makalio ya kuku" 🥶
Kiuhalisia hakuna CONNECTION yoyote atapata wewe kama huna hela usijisumbue kujitutumua misuli bure. Watu wakimaliza shule kila mtu anaelekea ustaarabu wake mwanao atabaki anasimulia tu nilisoma na fulani😀😀😀Peleka English medium ama international schools akatengeneze network na watoto wa decision makers. Ili hata kama wewe ni pangu pakavu bhasi yeye atakuwa na pa kuanzia
Hakuna raha ya kuwa na network ya watu ambao mnategemewa na ukoo kuukoa kutoka kwenye umaskini. Sadly, hiyo ndio network ya watoto wa st kayumba ukitoa wale waliosma dhule za vipaji maalum au kubwa za mijini ambapo kuna mchanganyiko
Hawana fedha hao🤣🤣 ndugu we sema hali yako ni ngumu kwa sasa.