Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Wazazi wengi wakishapiga hesabu ya kwamba anamsomesha mtoto kwa gharama alafu mwishowe anakosa ajira na status yake inakuwa sawa na aliyesoma Kayumba ndo huchukua maamuzi ya kuwapeleka watoto wao Kayumba.
Suala la kukosa ajira ni universal, hos nothing na kumsomesha mtoto international or kayumba
 
Amini upo sahihi na hayo mashule yanamilikiwa na wafanyabiashara wakubwa,wabunge na viongozi wakubwa hizo ni money schemes za kuvuna pesa za MIDDLE INCOME CLASS ya wajinga wa hapa nchini.

Atleast uniambie mtoto unampeleka shule za international wanazosoma mtaala wa huko duniani hapo angalau ila hata hapo pia inabidi uandae mazingira na vyuo akasome top cream ya dunia. Hapo ndo tunakubaliana watu wote wenye akili timamu kuwa wewe umewekeza kwenye ELIMU BORA na ndivyo akina MO na watoto wa Bakresa ambao wanakuja kuendeleza makampuni ambayo ni international wanavyofanya kwa watoto wao.

Ila hizi EM ambazo zinafanya NECTA ni takataka kabisa.Zipo kuibia hawa MIDDLE INCOME wasio na good financial education plus exposure.

#KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Duh wewe jamaa una akili nyingi sana mkuu. You are th true son of your father.
 
Amini upo sahihi na hayo mashule yanamilikiwa na wafanyabiashara wakubwa,wabunge na viongozi wakubwa hizo ni money schemes za kuvuna pesa za MIDDLE INCOME CLASS ya wajinga wa hapa nchini.

Atleast uniambie mtoto unampeleka shule za international wanazosoma mtaala wa huko duniani hapo angalau ila hata hapo pia inabidi uandae mazingira na vyuo akasome top cream ya dunia. Hapo ndo tunakubaliana watu wote wenye akili timamu kuwa wewe umewekeza kwenye ELIMU BORA na ndivyo akina MO na watoto wa Bakresa ambao wanakuja kuendeleza makampuni ambayo ni international wanavyofanya kwa watoto wao.

Ila hizi EM ambazo zinafanya NECTA ni takataka kabisa.Zipo kuibia hawa MIDDLE INCOME wasio na good financial education plus exposure.

#KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Kabisa kumsomesha mtoto EMs ukimlipia ada mamilioni halafu mwisho WA siku anakuja kufanya mitihani inayosimamiwa na NECTA, halafu elimu ya chuo kikuu anaenda kuitafuta kwenye chuo kinachosimamiwa na TCU ni sawa tu kujenga gorofa kwenye hifadhi ya barabara au kando kando ya mto mkubwa, mwisho WA siku utalipoteza tu Hilo gorofa na hatimae utakuwa sawa tu wale ambao hawana nyumba.

Huku mitaaan waliosoma EMs na waliosoma government schools a.k.a kayumba schools, tofauti Yao ni kingereza tu Cha ku-comment mitandaoni.

Mtu kama ameamua kumpa mtoto wake elimu iliyo Bora basi ampe kilicho Bora mwanzo mwisho, yaani mtoto Yuko kindergarten tayari wewe mzazi huko unamuandalia kuja kusoma Stanford university au akishindwa sana basi hata Witwatersrand hapo south Africa... Mtu akienda na huu mlolongo kielimu sio rahisi kuja kuteseka.

Sasa wewe leo hii unajinadi mtoto wako hasomi Kayumba anasoma EMs halafu mwisho WA siku anakuja kuishia Udom au Teofilo Kisanji, kisha akitoka hapo na yeye anaanza kugombania ajira za TRA na hao waliosoma Kayumba sasa ni akili hiyo???
 
100% Fact
 
Watu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza .Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga😄😄😄
Mtu anayeweza kumudu kusoma IST hawezi kubangaiza, mkuu.
Vilevile, kusoma shule hizo, kunapanua uelewa wako na kukufanya uwe mbunifu kwenye mambo makubwa.
Tazama trends za wanafunzi waliotoka shule za namna hiyo utapata jawabu.
 
Nabishana na maskini ukute hata hiyo IST hujui inapatikana wapi. Mmejaa na kujazana ujinga eti unapata connection.

Hivi wewe tukuweke katikati ya watoto wa kihindi na kiarabu tofauti na kijifunza kula kachori.Wewe mtoto wa MBANGAIZAJI ni connection gani utapewa na hao watu.

Gentleman kaa ukijua wenzako hao wa kihindi na kiarabu na baadhi ya watoto wa mawaziri,balozi na wafanyabiashara wale international( wakubwa akina MO,BAKRESA) achana na hawa wachuuzi.Ndo wapo huko IST ,wewe pangu pakavu ni bora ujikite kuondoa umaskini wa UKOO kuliko kuanza kuzungumzia ndoto.Maana wenye kusoma IST hata JAMII FORUM hawaijui.
 
Nitajie mtu aliyesoma IST na kaanzisha kampuni yake kubwa from the scratch au ni kiongozi serikalini.
Mo Dewji kasoma IST. Vilevile waliosoma IST wengi hawapo nchini au hawafanyi hizi kazi njaa huwezi waona.
 
Kwenda nje ya nchi ni usharp wako tu hizo nchi kama UTURUKI,INDIA,MALAYSIA na baadhi ya nchi za ulaya hizo ukipitia website utakutana na scholarship kibao kuanzia 50% mpaka za 75% ni wewe tu na uchangamfu wako. Ukishindwa unaweza kwenda kwenye UBALOZI husika ili kupata hizo scholarships.

Heri ukanunua kiwanja au shamba eneo potential kwa 5-10millions baada ya miaka 7-10 unauza unampatia mtoto ada ya chuo kizuri nje ya nchi au unaongezea kwenye scholarship kama amepata au umpe kama mtaji kulingana na ujuzi alioupata VETA aanzishe WORKSHOP yake ajilie pesa burebure kuliko kuwekeza huko primary alafu huku chuo anakuja kusoma vyuo vya kata UDSM,UDOM,SAUTI na MU anapewa elimu ya kukariri madesa.Hivi vyuo ndo vimelata aina ya viongozi wasio na maono waliopo saivi na wengine ni maprofesa😄😄😄na PhD zao za mchongo.

#Kupanga ni kuchagua.
Hawa wanafunzi wengine ambao hata majina yao wanashindwa kuandika ndio unasema watazame fursa Uturuki na Malaysia?
FB_IMG_1737132827490~2.jpg
 
Wazazi wengi wakishapiga hesabu ya kwamba anamsomesha mtoto kwa gharama alafu mwishowe anakosa ajira na status yake inakuwa sawa na aliyesoma Kayumba ndo huchukua maamuzi ya kuwapeleka watoto wao Kayumba.
LIKUD
 
Wajukuu wa Bakhresa hawasomi English Medium, wanasoma International School of Tanganyika. Halafu wakimaliza hawaendi kulilia boom pale Mlimani au SAUT wanaenda kwenye vyuo bora duniani na icing on the cake wakimaliza hawatafuti ajira.

Acha kabisa kujilinganisha na jina Bakhresa na watu kama hao.
Ni kweli hadi vitukuu vya baresa vitafaidi labda litokee lijukuu jinga jinga litakaloua uchumi wa babu
 
Mo Dewji kasoma IST. Vilevile waliosoma IST wengi hawapo nchini au hawafanyi hizi kazi njaa huwezi waona.
Mo Dewji karithishwa yeye kaanzia alipoishia mzee wake(nilisema from the scratch). Nitajie aliyesoma IST na kafanya makubwa hao waliopo nje ya nchi wengi wao wana ndugu zao huko.
 
Watu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza
Kina nani wataje majina. Waliosoma international schools ndio hawa kina Benjamin Fernandez.
Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga😄😄😄
Mbona inawezekana waliosoma shule za kawaida kupeana connection, kuna ugumu gani waliosoma EM na IS kupeana connection. Sasa wanajuana kupitia wapi kama sio shule na vyuo, yani hawa waitane kwenye ubodaboda na kupaka kucha rangi ila wale washindwe kuitana kwenye partnership?
 
Hivi unafikiri hao decision makers wengi wao walisoma English Medium au International Schools? Angalia historia ya viongozi wengi wa serikali wengi wao wamesomea vijijini.
Zamani shiule za serikali ndio zilikuwa bora zaidi na waliofeli ndio walikimbilia private schools. Huwezi fananisha shule za kata na shule za wamisionari waliosoma kina Benjamin Mkapa kwa sababu utajidanganya tu mkuu

Kwa sasa ipo wazi, shule binafsi ni bora kuliko government. Haina mjadala, vingine ni kujifariji
 
Back
Top Bottom