Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.

Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea

Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi

Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!

Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
 
Pole Sana mkuu .

Ila sifikirii Kama wanawake wanaweza kukuondolea upweke .
 
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.

Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea

Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi

Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!

Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Huna ndugu yeyote wa kike umtongoze?
 
Makosa makubwa mawili unayoyafanya

Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.

Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.

Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.

WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
 
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.

Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea

Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi

Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!

Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Tafuta hela kijana!
 
Mkuu hauna tu hela wewe, wallet ikiwa na makaratasi hiyo hali wala hauisikii.

Namie kuna kipindi nlikuaga napitia hiyo nikifulia, sina hata mia, basi nahisi upweke najihisi ovyo hadi najikuta nalia bila sababu, namkumbuka hadi mzazi wangu aliefariki miaka ya 90.

Ukiwa na vihela na vimishe vya kukukeep busy hayo mawazo hayapo

Mwisho: Tafuta hela
 
Back
Top Bottom