Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Okay sawa kumbe hana shida ndogo ndogo, kwahiyo yuko wapi sahivi 😹😹 ajibu pm chaaap tumalize sikukuu.....tuuaibishe upwekeItategmea sasa mama Kama PHILO bado anasumbuliwa na hela ya kula ,kulipa kodi n.k
Aanze kwanza ajijenge Ila huyu dogo hatokei broke family namjua kias chake ni MTU smart na hustler and educated .
Itakuwa either yupo katika kuwaza mambo makubwa ambayo yanampa sleepless nights .
Nafikiri hata wanawake itakuwa anatafuta high classic women VVIP
Ajaribu pia Ku-lower expectation kuhusu maisha