Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Majibu yako yanafikirisha sana. Kuna mambo naona kama ya kufikirika zaidi. Kama unawasalimia kwa ujumbe wa simu naweza kuelewa. Lakini kama ni salamu ya uso kwa uso haiingii akilini. Labda kama kuna sehemu mlitofautiana.

Reading between the lines. Umesema kipato chako hakizidi pesa ya boxer. Hapa inategemea aina ya boxer yenyewe. Lakini pia Umesema mama yako alikuwa connected na wafanyabiashara wengi ambao kwa andiko lako inaonekana walimtegemea huyo mama. Kwa vyovyote vile mama yako alikuwa anajiweza kiuchumi. Huu umaskini umekujaje? Ina maana hakuna asset yoyote ambayo aliwaachia ambayo inaweza kuwapa hatua ya kwanza mpaka 40 ili kufikia hatua ya 90?

Sioni sababu ya kuendelea kulalamikia rafiki za mama ambao hawakuwahi kuwa rafiki zako licha ya kukufahamu? Kama wangekuwa walimtenga mama yako alikuwa na sababu ya kulalamika kidogo.

Ishi maisha yako na usiwatupie watu lawama.
Wafanyabiashara wengi sana na viongozi wenye status wengine ni uso kwa uso ukiwa salimia wanauchuna wengine ni kupitia simu nijitambulisha mimi ni mtoto wa marehemu fulani wanaruka Mita mia

Fedha niliyoachiwa pekee ni laki mbili mkuu lakini nikwambie watu walikuwa na uwezo kipindi fulani na baadae fedha zikapotea hizi story nadhani unazisikia sana
 
I
Kuna siku nilitaka kuandika Jina langu kwenye daftari la wanazengo misiba mwenye kiti akasema utaweza kulipa hizo hela misiba ikitokea au ni kujaza tu daftari la zengo nikawaza hivi Ina maana muone kano wa mtu ndo kiasi cha pesa anachomiliki🥶

Ghafla Ata wale ndugu wakaanza kupukutika kidogo kidogo nikakumbuka mother aliwahi kunitonya mwezi kabla hajafa watu ambao natakiwa kujua ndo familia yangu ya kweli
Potezea kama huelewi vile afu pambana ipo siku watakuheshim watapoanza kujileta na wee ndo unakuwa huna taim nao unadili na yako na kusonga mbele.
 
Wafanyabiashara wengi sana na viongozi wenye status wengine ni uso kwa uso ukiwa salimia wanauchuna wengine ni kupitia simu nijitambulisha mimi ni mtoto wa marehemu fulani wanaruka Mita mia

Fedha niliyoachiwa pekee ni laki mbili mkuu lakini nikwambie watu walikuwa na uwezo kipindi fulani na baadae fedha zikapotea hizi story nadhani unazisikia sana
Tatizo linalokusumbua UNAJISTUKIA.

Ngoja nikwambie kitu.

Marafiki waliosaidiwa na mama yako they don’t owe you anything.

Iwe pesa, attention, time etc just because you expect it or feel entitled to it.

Hii ni reminder kwamba watu, kujumuisha ndugu zako, they don’t exist to meet your expectations.

Pia ukiona watu hawakuchangamkii hiyo si kwasababu hauna pesa, ni kwasababu you give off negative energy na upo kwa kulalamikia watu.

Mpaka utakapojifunza hili, hakuna kitakachobadilika.
 
Nimekuelewa sana mkuu I will change my mindset
 
Back
Top Bottom