Huu upweke unaniathiri sana akili mpaka nayakatia tamaa maisha

Kuhusu wewe kukataliwa na kila mdada unaemtongoza, nina swali, je tangu umeanza kubalehe ushawahi kuwa na girlfriend? Kama jibu ni ndiyo, mliachanaje na huyo girlfriend wako Philomena3
Kiwango changu cha elimu na pesa ndo kilifanya aniache Ila kwa mfano kwa mwaka huu unaisha nimeshakuwa na one night stand 24 tangu mwaka uanze more than 24 bitches
 
Makosa makubwa mawili unayoyafanya

Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.

Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.

Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.

WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Michongo iko wapi mkuu sahivi sina kazi stable
 
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.

Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea

Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi

Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!

Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Mara moja moja hasa mida ya jioni jipumzikie sehemu na Konyagi yako huku unachat JF. Utashangaa maisha yanaenda kama unavyotaka!!
 
Nje ya mada huyu mleta mada baadhi ya ya mada zake zilizopita alikuwa akitoa simulizi ambazo zina sura tofauti na huyu wa leo. Haya aliyoyandika leo yanemkuta hivi karibuni?
 
Makosa makubwa mawili unayoyafanya

Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.

Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.

Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.

WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Ushauri mzuri na wakufuatwa
 
Huu ni ushauri mzuri furaha inaanzia ndani yake mwenyewe sasa yeye anaitafuta kwa watu.

Hawezi kuipata furaha nje yake kamwe!
 
Makosa makubwa mawili unayoyafanya

Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.

Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.

Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.

WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Nahisi nahitaji kusoma haya maneno kila siku.
 
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.

Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea

Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi

Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!

Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Nenda baar Kanywe I guarantee you leo leo unapata kampani
 
Dogo kaza acha umama.

Mamako itakuwa kakulea kikekike ndomana unajiliza hovyo.Mtoto wa kiume kaza.Yaani wewe unamanyoa kila mahali na kujua mpaka umuhimu wa mademu alafu bado unalialia kijinga.

Shida ya wanawake kulea watoto wa kiume pekeyao wanawaharibu sana.

Pambana wewe sio pekeako uliyezaliwa kuna wenzako hawajawahi hata kunyonya maziwa ya mama zao tangu wamezaliwa wewe unasema nini.

Dogo kama unauchungu sana jiuwe tu umfate mzazi wako,maana unaonekana huna ujualo kuhusu maisha.

Wazazi andaeni watoto uwezo wa kujitegemea hata msipokuwepo.
 
Bongo hakuna kitu kinaitwa upweke ni kujiendekeza tu.
Kila ninapokutana na comment yako huwa napata Mapinduzi Kichwa I kuhusu Nini natakiwa kureply Kwenye Uzi husika. Ningekuwa na mamlaka ningekuamuru I'd yako iwe Max me not min me 😄😄😄😄😄😄

By the way mtoa post akizingatia hiyo comment atanufaika Sana. Ila akutafute zaidi uiweke Kwenye vipengele kwamba akiwa bongo afanye Moja mbili tatu. Mkakati uwe katika namna ya utekelezaji. Thanks
 
😁😁😁 kumbe mkuu?
 
Back
Top Bottom