Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango changu cha elimu na pesa ndo kilifanya aniache Ila kwa mfano kwa mwaka huu unaisha nimeshakuwa na one night stand 24 tangu mwaka uanze more than 24 bitchesKuhusu wewe kukataliwa na kila mdada unaemtongoza, nina swali, je tangu umeanza kubalehe ushawahi kuwa na girlfriend? Kama jibu ni ndiyo, mliachanaje na huyo girlfriend wako Philomena3
Michongo iko wapi mkuu sahivi sina kazi stableMakosa makubwa mawili unayoyafanya
Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.
Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.
Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.
WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Sijalelewa na single mother japo asilimia 80 mother alikua bega kaa bega na mimiMadhara ya Hawa wanaojiita single mother,
Ni kuwalea watoto wa kiume kimayai,
Wengi wao hawana ujasiri kabisa wakupambana wanapokutana na mitihan katika maisha hata awe na hela!
Nitakitafuta mkuuTafuta kitabu kinaitwa ART of being alone
Aina ya vijana Kama wewe Ni hasara tupu!Sijalelewa na single mother japo asilimia 80 mother alikua bega kaa bega na mimi
Mara moja moja hasa mida ya jioni jipumzikie sehemu na Konyagi yako huku unachat JF. Utashangaa maisha yanaenda kama unavyotaka!!Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
😆😆😆😆😆😆Bongo hakuna kitu kinaitwa upweke ni kujiendekeza tu.
Ushauri mzuri na wakufuatwaMakosa makubwa mawili unayoyafanya
Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.
Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.
Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.
WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Sio hasara mzeeAina ya vijana Kama wewe Ni hasara tupu!
Nilishawahi toa mada ipi mkuuNje ya mada huyu mleta mada baadhi ya ya mada zake zilizopita alikuwa akitoa simulizi ambazo zina sura tofauti na huyu wa leo. Haya aliyoyandika leo yanemkuta hivi karibuni?
Huu ni ushauri mzuri furaha inaanzia ndani yake mwenyewe sasa yeye anaitafuta kwa watu.Makosa makubwa mawili unayoyafanya
Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.
Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.
Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.
WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Nahisi nahitaji kusoma haya maneno kila siku.Makosa makubwa mawili unayoyafanya
Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.
Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.
Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.
WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Nenda baar Kanywe I guarantee you leo leo unapata kampaniMama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Ukabarikiwe nayo Mkuu.Nahisi nahitaji kusoma haya maneno kila siku.
Kila ninapokutana na comment yako huwa napata Mapinduzi Kichwa I kuhusu Nini natakiwa kureply Kwenye Uzi husika. Ningekuwa na mamlaka ningekuamuru I'd yako iwe Max me not min me 😄😄😄😄😄😄Bongo hakuna kitu kinaitwa upweke ni kujiendekeza tu.
😁😁😁 kumbe mkuu?Kila ninapokutana na comment yako huwa napata Mapinduzi Kichwa I kuhusu Nini natakiwa kureply Kwenye Uzi husika. Ningekuwa na mamlaka ningekuamuru I'd yako iwe Max me not min me 😄😄😄😄😄😄
By the way mtoa post akizingatia hiyo comment atanufaika Sana. Ila akutafute zaidi uiweke Kwenye vipengele kwamba akiwa bongo afanye Moja mbili tatu. Mkakati uwe katika namna ya utekelezaji. Thanks