Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kipato kinakonekti na mengineDuh ww ulikuwa na upweke wa kipato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipato kinakonekti na mengineDuh ww ulikuwa na upweke wa kipato.
Utelezi ni hela yake tu,aende chimbo/bar.Nenda vijiweni,cheza draft,uta-socialise na watu,kuhusu utelezi, hicho ni kitu chepesi kuliko mlo
Kabisa ukikosa kipato hasa kwa mwanaume ni hatari.Kipato kinakonekti na mengine
Sema kweli ba mchungaBongo hakuna kitu kinaitwa upweke ni kujiendekeza tu.
Hakika asiitafute furaha kwa watu wengine watu hubadilikaMkuu, sina cha kukushauri zaidi ya kukwambia kuwa nenda kaangalie hizi movies ntakazotaja. Then ujifunze kuwa furaha sio watu bali ni wewe.
- Mr Bean (Series)
- The Whale
- Sometime I Think About Dying
- Office Corner
Kabisa.Hakika asiitafute furaha kwa watu wengine watu hubadilika
Kwahiyo huna shughuli yeyote unavyofanya huko mpaka wanawake wakukatae huingizi hata 7000 kwa siku unawanunulia vichips unakula mzigo
Presha ya kutaka kulindahwsHang on brother. Just hang on. Chukua ushauri ambao utakufaa na uufanyie kazi. All the best...maisha yana changamoto nyingi. Usikubali kushindwa. Never say never.
Kuna muda huwa nawasilimia hao watu Ata salamu yangu hawaitikii Dah, najiuliza walikuwa wanachangamkia mother kwa sababu alikuwa anawapa fursaPole. Piga kazi kwa bidii hao wote watakuja. Waliokuwa karibu na wewe ni kwa sababu ya mama yako alipotoweka hakuna kiunganishi. Ingekuwa rahisi endapo mama angeacha biashara inayokuunganisha nao.
Haturithi marafiki tengeneza empire ya kwako. Ila ID yako haiendani na kukataliwa na wanawake
Mwanaume unakuwaje Mpweke mzee...acha kuiga iga mamboMama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Nikiwa nimelala kwenye chumba changu satano usiku Baada ya kumaliza mapambano, jirani naisikia familia ambayo ni maskini, hawana exposure yoyote lakini nawasikia wanafurahi sana na wanalala chumba kimoja watu Sita Ila kwetu tupo wachache na furaha Ata kujumuika Kula pamoja na kupeana ushauri hakunaJamii zetu ni jamii duni . unabidi kuwa makini Sana na mambo yote yanayoweza kuathiri furaha yako .
Nyani haoni kundule wewe hiyo ID unayotumia ni jina lako halisi mkuu??Philomena filo ,wewe unatongoza
Nikiwa nimelala kwenye chumba changu satano usiku Baada ya kumaliza mapambano, jirani naisikia familia ambayo ni maskini, hawana exposure yoyote lakini nawasikia wanafurahi sana na wanalala chumba kimoja watu Sita Ila kwetu tupo wachache na furaha Ata kujumuika Kula pamoja na kupeana ushauri hakuna
Hii kitu huwa inani pain sana siri ya furaha ni nini
Kweli mkuu yote ni maisha kuna wakati Nimekuja kugundua kumbe kumiliki mali sio kumiliki furahaMkuu jaribu kuweka balance ktk maisha usiyachukulie serious Sana maisha.
Mara nyingi great thinker na watu wenye akili Kama nyie huwa hampati Amani hadi mkamilishe asilimia kadhaa ya malengo yenu.
True , I have been through such situation.Kweli mkuu yote ni maisha kuna wakati Nimekuja kugundua kumbe kumiliki mali sio kumiliki furaha
Wanadam wamekaa kinafki sana, ukiwa nacho ndo wanajiletaga kama huna huwezi ona mtu mwenye taim na wewe,Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Kuna siku nilitaka kuandika Jina langu kwenye daftari la wanazengo misiba mwenye kiti akasema utaweza kulipa hizo hela misiba ikitokea au ni kujaza tu daftari la zengo nikawaza hivi Ina maana muone kano wa mtu ndo kiasi cha pesa anachomiliki🥶Wanadam wamekaa kinafki sana, ukiwa nacho ndo wanajiletaga kama huna huwezi ona mtu mwenye taim na wewe,
Nadhani umeshajifunza vyakutosha siku na wewe ukipata utakuwa ushajua wenye urafiki wa kweli na wa kinafki.
Pia Utakuwa ushajua mwanamke yupi ana mapenzi ya kweli na yupi ni mnafki.
Na ukishapata usikubali urafiki kirahisi usikubali mazoea ya kifala na usikubali wanafki, Kaa mbali nao kama walivo mbali na wewe sasaivi.
Cha kufanya saivi tuliza akili acha mawenge, amini ktk Imani yako omba Huku unapambana na kutunza fedha anzisha vimiradi vyako hata saluni ya kinyozi, ufugaji, na mengineyo.
Futa kabisa mawazo na wanawake Wala usimuamini mwanamke asilimia 100,.
Kama unataka kuoa tafuta mwanamke saizi yako wa viwango vyako wapo Tena wengi wazuri tuu, ila sio kwamba eti ndo umuamini kivileee. Mshirikiane nae kumeki family.
Majibu yako yanafikirisha sana. Kuna mambo naona kama ya kufikirika zaidi. Kama unawasalimia kwa ujumbe wa simu naweza kuelewa. Lakini kama ni salamu ya uso kwa uso haiingii akilini. Labda kama kuna sehemu mlitofautiana.Kipa
Kipato nachopata ni kidogo sana hata boxer tu siwezi
Presha ya kutaka kulindahws
Kuna muda huwa nawasilimia hao watu Ata salamu yangu hawaitikii Dah, najiuliza walikuwa wanachangamkia mother kwa sababu alikuwa anawapa fursa