hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
naunga hoja mkonoKwa Bongo huwezi kukosa kabisa mwanamke unachokosea ni kwenda levo ambazo sio zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naunga hoja mkonoKwa Bongo huwezi kukosa kabisa mwanamke unachokosea ni kwenda levo ambazo sio zako
Mkuu hauna tu hela wewe, wallet ikiwa na makaratasi hiyo hali wala hauisikii.
Namie kuna kipindi nlikuaga napitia hiyo nikifulia, sina hata mia, basi nahisi upweke najihisi ovyo hadi najikuta nalia bila sababu, namkumbuka hadi mzazi wangu aliefariki miaka ya 90.
Ukiwa na vihela na vimishe vya kukukeep busy hayo mawazo hayapo
Mwisho: Tafuta hela
Huu uzi wa ukweli au Gumashi kama ilivyo kawaida yako mkuu?.Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Wewe ni me au ke?Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Kwahiyo huna shughuli yeyote unavyofanya huko mpaka wanawake wakukatae huingizi hata 7000 kwa siku unawanunulia vichips unakula mzigoMama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Nadhani shida ni marafiki zake na watu aliokua nao.Atachafua vibaya sana
Atafute hela hiyo hali itaisha nakwambia mi ishanikuta sana 😹😹 nlikua nalia hadi najiuliza hivi nalia nini?.mtu akiuliza nitajibu nalia niniNadhani mtoa mada hana upweke Ila anajihisi kutengwa na jinsia ya kike na watu waliokuwa karibu na mama yake.
Upweke inaweza Kuwa Kama solitude hali fulani ya kujihisi upo mwenye hii huwa inachangiwa na kile kinachoendelea ndani yako.
Hivyo pesa sifikirii Kama inaweza kuondoa hii hali.
Ila tukija katika kuhisi kutengwa n.k hii ndo inaweza kuchangiwa na kuwa broke n.k
Hivyo ikiwa mtoa mada Ana upweke basi ajue mwanamke hana hiyo power ya kumuondolea huo upweke zaidi zaidi atauongeza.
Ila akiwa anatengwa na watu au wanamktaa ajaribu Ku-build network mpya ya watu.
Pesa atafute Kwa ajili ya kuboresha maisha yake and not attract peoples .
Sina kazi inayoeleweka naendesha bajajiMakosa makubwa mawili unayoyafanya
Kwanza, Kutegemea Watu ndio wawe chanzo cha Furaha kwako, wakati Furaha ilipaswa kutoka Ndani yako mwenyewe.
Pili, kudhan Wanawake ndio kitu pekee kinachoweza kukupa Aman na Furaha, kumbe ndio unajitafutia matatizo.
Nini Ufanye..... JISHIGHULISHE MDOGO WANGU, KAMA HAUNA SHUGHULI ,TAFUTA SHUGHULI YOYOTE HALALI UTAKAYOKUA UNAPOTEZEA MUDA HUKO, NA KAMA UNA SHUGHULI YAKO, WEKEZA MUDA, MOYO, AKILI NA NGUVU ZAKO HUKO.
WANAWAKE UTAWALAUMU, WANAWAKE WANAPENDA MWANAUME AMBAYE NI STRONG.
Atafute hela hiyo hali itaisha nakwambia mi ishanikuta sana 😹😹 nlikua nalia hadi najiuliza hivi nalia nini?.mtu akiuliza nitajibu nalia nini
Hii hali ilikua inatokea siku ambazo mshahara ukiingia nalipa bills na madeni unaisha hapo hapo.....nabaki 0 lazma nijihisi kama huyu kaka philo
Vema ,je wajua Bodaboda, waendesha Bajaji, Licha ya marejesho ya Kila siku au Kila wiki Kwa MaBoss wao, bado ni watu wenye Maisha yenye Amani na Furaha kuliko hata Hawa Walimu , Idara ya Afya .i
Sina kazi inayoeleweka naendesha bajaji
Tafuta ela acha uzembe Aiseee hakuna manzi anakataa mbele ya chakulaUmri wako tafadhari.