Umri wako tafadhari.Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Kwa hiyo wewe Philomena unatongoza wanawake?Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Kwa hiyo wewe Philomena unatongoza wanawake?
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Huna ndugu yeyote wa kike umtongoze?Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Kipo sana tu.Bongo hakuna kitu kinaitwa upweke ni kujiendekeza tu.
Makosa makubwa mawili unayoyafanyaMama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Tafuta hela ni too generalUsitongoze mkuu tafuta Hela huwa wanakuja wenyewe unafanya tu ku subscribe wale unaotaka kukula. Ila kataa ndoa ni utapeli
Tafuta hela kijana!Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo tayari kuwa na mimi!
Nimejikatia tamaa Sasa, kuna mda paka nawaza mambo mabaya sana Dah 🥶🙄🥺
Piga nyundo hii reply , akienda pisi za level zake atakua mchafuajiKwa Bongo huwezi kukosa kabisa mwanamke unachokosea ni kwenda levo ambazo sio zako
Atachafua vibaya sanaPiga nyundo hii reply , akienda pisi za level zake atakua mchafuaji
Mhmm nikujitakia tu mkuu wala sijasema hakipo mazima🤔Kipo sana tu.