Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Diamond kama muislam halisi hakupaswa kumsikiliza mama yake pekee pia ilikuwa ni vyema pesa zake zingetumika katika kuwaunganisha tena upya baba na mama yake
 
Diamond kama muislam halisi hakupaswa kumsikiliza mama yake pekee pia ilikuwa ni vyema pesa zake zingetumika katika kuwaunganisha tena upya baba na mama yake
Mama kapata zake kijana [emoji1787][emoji1787]
 
Kabla sijawajua wanawake pengine ningekuwa na mtazamo tofauti na nilio nao sasa ila kwa kuwa ninaelewa ni ugumu kiasi gani kuishi na mwanamke under the same roof especially wenye midomo michafu niko upande wa baba yake Diamond.

Huyo bi. Sandra alikuwa mwanamke wa hovyo since then ila tu hakupata nafasi ya kuvimba. Sasahizi ndio anaonekana true colors zake ila so far hata chanzo cha ugomvi huenda ni infidelity issues pamoja na kiburi na domo lake chafu. Kwa mwanaume anaejiweza obvious lazma ataopt kujiweka pembeni au kuwa na mipango kando huku akiendelea kuishi na mwanamke mkorofi kulinda tu heshima ya familia.

Ila kwa bwana Abdul naona yeye aliamua kujitenga kabisa na huyo mwanamke na ndio akampa rum ya kummezesha sumu dogo diamond kuwa baba yako hatujali, ona anaendekeza umalaya tu ila kimsingi yeye ndio chanzo. Yani kwa kumtazama anaonekana ni wale wanawake wapenda ligi ya maneno mtabishana mwisho unamtia vitasa tu.
 
1-Jamaa anamla Bi Mkubwa wake ,na moja ya magonvi yalokuwepo kati ya Bi mkubwa wake na Zari ni juu ya Diamond .

2-Mashariti alopewa .

Jamaa yupo tayari kugawa kondom bure, lkn hayupo tayri kumsaidia Mzee wake.
 
Mwanamke ambaye amezaa na watu tofauti tofauti ni dhahiri alikuwa mdangaji wa kiaina flani na si mtu wa kuridhika na matunzo ya mume. Sasa imagine na wewe kidume unajiweza si lazima uvimbe ili kumkata ngebe mwanamke jeuri. Kitu alikosea mzee abdul alitakiwa amtimue mama abakie na mtoto tu. Sema ujana nao ulikuwa umepamba moto ukizingatia alikuwa sukari ya warembo.
 
Mfano kama mama yake hakupewa pesa za matunzo ndy ashindwe kumsaidia baba yake?

Wewe baba yako aliweza kukupa kila ulichohitaji utotoni?

Je huwezi kumsaidia?

Lazima ujuwe jinsi ya kutofautisha kati ya kukosa pesa,,na kukataa kutoa pesa.
 
Yeah kuna tofauti kubwa sana, kuna ile mtu hana na hawezi kukusaidia ila kuna ile mtu anazo na ushahidi wa kimazingira upo kabisa ila hakupi.
 
1-Jamaa anamla Bi Mkubwa wake ,na moja ya magonvi yalokuwepo kati ya Bi mkubwa wake na Zari ni juu ya Diamond .

2-Mashariti alopewa .

Jamaa yupo tayari kugawa kondom bure, lkn hayupo tayri kumsaidia Mzee wake.
Hivi hii scandal ni kweli? Jamaa anamtafuna bi.mkubwa kama siri ya utajiri wake?
 
Huyu mama anaonekana ni mzinzi,mpenda Shari,jeuri,kiburi,mwenye tabia ya kuweka kinyongo na asiyejiheshimu. Ni kweli inawezekana mzee alipiga chini kujiepusha na kero hizo
 
Hivi kwa nini msijichange Buku buku kama mna uchungu sana na huyo mzee kuliko kumwandama kila siku mtoto wa watu???

Hata ukiangalia mahojiano yake na vyombo vya habari mzee yupo very humble kuonesha yeye anatambua makosa yake.

Halafu ukifuatilia nyuzi za huyu mtoa mada ni timu kiba yaani baada ya kuachwa kwenye mziki ndio mnakuja kuvamia familia yake??? Unatia aibu mzee.
hivi ina maana hamjui ommy Dimpoz, mwana fa mbunge wametelekeza baba zao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…