Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huwezi kutoka Tanzania ukashindananna Somalia usishinde.Mmehamisha magoli π€£π€£ na huko mseme Tulia kaiba kura. Ushindi kwa Tulia ni swala la muda tu, Tulia ni spika makini sana she deserves it all.
Wazungu wametudharau sana.....sisi sio rank ya Somalia na Malawi hata kama tuna mapungufu yetu
Ama kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia.
Kama ningekua Dr Tulia Ackson nisingegombea.
Kitu chenya heshima ambacho Mzungu hajaona hata kuchukua form hicho kitu ni ceremonial tu.
Hahaha
Hahahaaaaliyemaliza muda si alitokea portugal, labda wanaenda kwa mabara kwa awamu, utajuaje, labda ilikuwa zamu ya africa?
Ikawaje sasa mwaka huu ni Somalia, Senegal na Tanzania? Au ilipangwa?"Kwa miaka 25 sasa urais wa IPU umetawaliwa na wabunge kutoka Misri, Hispania, India, Italia, Namibia, Morocco, Bangaladesh, Mexico na Portugal".
Hii kitu ulikuwa unaijua?
Huwezi kutoka Tanzania ukashindananna Somalia usishinde.
Yaani ni sawa na Kijana Wa Tabora Boys akafanye mtihani na Vijana wa Dumila Kata Secondary.....
Mm mwanafunzi wa dumila shule ya kata naomba uwalete hao Tabora boys nahamu nao niwagalagaze πππππ€£π€£π€£π€£Huwezi kutoka Tanzania ukashindananna Somalia usishinde.
Yaani ni sawa na Kijana Wa Tabora Boys akafanye mtihani na Vijana wa Dumila Kata Secondary.....
HahahaaaMm mwanafunzi wa dumila shule ya kata naomba uwalete hao Tabora boys nahamu nao niwagalagaze πππππ€£π€£π€£π€£
Kama ushindi wenyewe ni huu basi wacha achukue tuMlisema hatoshinda sahizi anashindana na wajinga. Mtalia vilio vyote mwaka huu Tulia katulia tu anasubiri kula kiapo π€£π€£π€£
May be.....huo sasa sio ushindi ni uteuziππInawezekana hii ni zamu ya bara la Afrika kama kipindi cha Boutros Ghali na Koffi Anan
Hivi ndivyo Dr Tulia Ackson alivyoshinda dhidi ya Somalia
Na ilikuwaje Tanzania ikakubali kuwa kwenye hilo kundi la vi nchi uchwara tupu?!Ikawaje sasa mwaka huu ni Somalia, Senegal na Tanzania? Au ilipangwa?
Ndio waliopitishwa. Tatizo la Watanzania Wajinga ni kuamini Mtanzania HAWEZI kuongoza taasisi kubwa.Ikawaje sasa mwaka huu ni Somalia, Senegal na Tanzania? Au ilipangwa?