Kwani utaratibu wa waislam kukafin ,kukamua maiti ulitoka wapi, hizi ni mila na tamaduni za walioleta hizi dini,wazungu na waarabu, Ni sunna, ukifanya sio dhambi,ukiacha sio dhambi relax.
Kumbuka uarabuni kwa waislamu wenyewe ni jangwa sehemu kubwa,kupata maua ni ishu, uenda na wenyewe walitamani kuwawekea maua wapendwa wao,ndio maana hata waarabu wanazika bila jeneza,hakuna miti ya kuchongea jeneza
Hata ile kuzika chapchap ni sababu ya joto la uarabuni maiti inaharibika haraka ,tofauti na ulaya kwenye baridi