Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
FactsKwani utaratibu wa waislam kukafin ,kukamua maiti ulitoka wapi, hizi ni mila na tamaduni za walioleta hizi dini,wazungu na waarabu, Ni sunna, ukifanya sio dhambi,ukiacha sio dhambi relax.
Kumbuka uarabuni kwa waislamu wenyewe ni jangwa sehemu kubwa,kupata maua ni ishu, uenda na wenyewe walitamani kuwawekea maua wapendwa wao,ndio maana hata waarabu wanazika bila jeneza,hakuna miti ya kuchongea jeneza
Hata ile kuzika chapchap ni sababu ya joto la uarabuni maiti inaharibika haraka ,tofauti na ulaya kwenye baridi
Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka usiku na njia mbovu.
Hivi huo utamadini wa kuweka mashada kwenye undongo wa kaburi ulitoka wapi? Unasaidia nini? Umeandikwa kwenye Biblia?
Mwenye majibu sahihi tafadhari nijibu, mimi umenikera kweli kweli.
Hizo ni mila za kizungu tu na wala sio dhambi kuzifanya coz ni jambo lenye kuonesha upendo kwa aliefariki na familia kwa ujumla.Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka usiku na njia mbovu.
Hivi huo utamadini wa kuweka mashada kwenye undongo wa kaburi ulitoka wapi? Unasaidia nini? Umeandikwa kwenye Biblia?
Mwenye majibu sahihi tafadhari nijibu, mimi umenikera kweli kweli.
Ndiyo!wewe umeshawahi kuosha maiti ya muislam??
tumbo linapofanyiwa massage lengo huwa ni nini??Ndiyo!
Na mimi ni muislam.
Hongera kwa kutoiga kila kitu bila kutumia reasoning hata hawa wakristu wenzako wambie, kuweka mashada sio sehemu ya imani ya kikuristo ni uzushi tu.Mwaka 2022 wakati wa maziko ya marehemu Mama yangu hicho kipengele nilikikwepa kabisa
Maana nilijiuliza tangu amenizaa hadi anafariki sikuwahi kumpa maua hata siku moja.
Mkuu una akili sana, kuna watu kazi zao ni copy and paste bila kuweka reasoning kabisa.Niliwahi kumtoa mwanamke aliyekaingia kaburini kupokea mwili wa mjomba nikawaambia msilete mila zenu za kipuuzi tangu lini mwanamke akaingia kaburini huu ni ukristo wa wapi?
Hmana muuslamu mjinga kama wewe utakua muratad tu.Ndiyo!
Na mimi ni muislam.
Kwanza kwa nini ulienda kuzika tena mtu asiye wa familia yako. Labda tuanzie hapo kuhoji dhana nzima ya utamaduni wa mazishi. Na kwanini mchimbe kaburi msimchome moto kufanya mambo kuwa mepesi na kusave ardhi?, na kwanini mtumie jeneza kuharibu miti na mazingira? Kwanini sanda/nguo zitumike kwa marehemu si azikwe uchi tu? Ukipata jibu kwa maswali hayo utajua kwa nini watu wanaweka mashada.Tumetoka kumsindikiza jamaa wetu kafiwa na mama ake mzazi huko mkoani lakini mpaka mvua imetukuta uko porini wanasoma orodha ndefu ya watu watakao weka maua kwenye kaburi ya marehemu, tumetoka usiku na njia mbovu.
Hivi huo utamadini wa kuweka mashada kwenye undongo wa kaburi ulitoka wapi? Unasaidia nini? Umeandikwa kwenye Biblia?
Mwenye majibu sahihi tafadhari nijibu, mimi umenikera kweli kweli.
Mkuu suali langu ni chanzo cha huo utamaduni wa mashada mengine najua chanzo chake ila hilo naona kama uzushi mtupu.Kwanza kwa nini ulienda kuzika tena mtu asiye wa familia yako. Labda tuanzie hapo kuhoji dhana nzima ya utamaduni wa mazishi. Na kwanini mchimbe kaburi msimchome moto kufanya mambo kuwa mepesi na kusave ardhi?, na kwanini mtumie jeneza kuharibu miti na mazingira? Kwanini sanda/nguo zitumike kwa marehemu si azikwe uchi tu? Ukipata jibu kwa maswali hayo utajua kwa nini watu wanaweka mashada.
Kwan wewe hukuelewa kwann Yesu alifanya fujo hekaluni baada ya kuona watu mpaka makuhani wanafanya biashara mbele ya hekalu? Ndio kama hayaKuna Dini zinaendesha kiubepari sanaa "Capitalism has interpolated christianity" tena sio dini ni biashara nilikua sijawahi kuona kanisa ya RC inafungua maduka pembeni yake inao uza vitu mbalimbali vikiwemu na mashada, lakini RC siku hizi maduka yamekua mengi sio dini ni biashara sasa, hu utamaduni usio kua na ushahidi kwenye bibulia tuachane nao.
Kwahiyo wanafanya kinyume na mafundisho ya kanisa kwa kweli dini zingine ziko after pesa sio dini kama zamani.Kwan wewe hukuelewa kwann Yesu alifanya fujo hekaluni baada ya kuona watu mpaka makuhani wanafanya biashara mbele ya hekalu? Ndio kama haya
Dini zoote unazozijua wewe.Kwahiyo wanafanya kinyume na mafundisho ya kanisa kwa kweli dini zingine ziko after pesa sio dini kama zamani.
Siku hizi wanayachoma moto yasirudi tena sokoniAcha kuwauliza wanaoweka maua makaburini tuulize sisi tunaoenda kuyatoa usiku na kuyaludisha Dukani.
Labda huko mikoani ila huku Dodoma ndo biashara yetu na tunasomesha watoto kwa biashara hiyo ya kuiba mashada makaburini.Siku hizi wanayachoma moto yasirudi tena sokoni