Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Acha UPUUZI wewe! Unazijua taratibu za kampeni wewe! Kwa kuwa wewe umekereka basi ndiyo ipigwe marufuku!? Lakini hukukereka taratibu zilipokiukwa kwa kutumia kisukuma.

 
Is it personification?
 
Ni kosa kama tu sauti zimegushiwa. Kama ni za wahusika, huna ishu mkuu
 
mimi nilikua namsapot Lema ila toka kata yetu ya Sombetin tumepata lami chin ya gambo.huku hatumkubali.tbarudisha kadi
 
Hiyo ndio siasa sasa achana na yale ya kupinga kila kitu. Ukisikia mnyukano ndio huu. Sio zile za matusi ya nguoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…