Vipi tukupe na ille Mrisho Gambo alipo maingiza Chaka Jiwe kuhusu kununua Madiwani...akaambiwa Mpumbavu😃😃Hahahaaaa..... Unaonekana wewe ni muoga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi tukupe na ille Mrisho Gambo alipo maingiza Chaka Jiwe kuhusu kununua Madiwani...akaambiwa Mpumbavu😃😃Hahahaaaa..... Unaonekana wewe ni muoga!
Lita ya mbege mnauza bei gani bwashee?!Mama tulia uzae salama utaua kiumbe hicho
'Mmeshalegea' hakuna wa kuwaogopa bwashee.Wewe huogopi mitama bwashee?!
Hahahaaaa.......!
Alisema mwenyewe akiwa anamuapisha RC wa Arusha kuwa ili jina la mgombea lirudi toka kamati kuu itategemea ameamkaje siku hiyo maana yake haya majina aliyatoa mfukoni kwake.Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe
Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe
Za kusagana je?Na wao wafanye hivyo hivyo
Dah, mtamuua Meko jamani hayo maswali gani tena?!Hivi ni kweli Mwenyekiti wa CCM ameiba ardhi huko Kagera?
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Is it personification?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Nani kamwomba radhi mwenzake?!Ndio wakome kuropoka ovyoovyo , mkiambiwa muwe mnaweka akiba ya maneno hamsikii , Sasa mambo magumu kwa Gwajima Mpaka kaenda kuomba radhi kwa Pengo maji shingoni .View attachment 1578396
Ni kosa kama tu sauti zimegushiwa. Kama ni za wahusika, huna ishu mkuuLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe!!Ni kosa kama tu sauti zimegushiwa. Kama ni za wahusika, huna ishu mkuu
Naam bwasheeKumbe!!
Hiyo ndio siasa sasa achana na yale ya kupinga kila kitu. Ukisikia mnyukano ndio huu. Sio zile za matusi ya nguoni!Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Ile walishasema ili editiwa😆😆😆😆Je angeonesha ile pono yake