Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Kawe sio wajinga Hadi qamchague kiongozi mwenye kutokana dini za watu ilhali kiongozi anapaswa kuwa kumunganishaji badala ya mbaguzi.. sisi waislamu wa kawe hatutamchagua gwajima na nadhani wakatoliki nao watafanya hivyo hivyo.

Kura zote wlkwa halima mdee ambaye anaheshimu dini zote.
 
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.

Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.

Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.

Maendeleo hayana vyama!
Haikubaliki kwa nani?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom