mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Utaratibu wa vyombo vya kisheria unaujua?Walioediti mbona hadi leo hawajatiwa nguvuni au hawa kama tiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaratibu wa vyombo vya kisheria unaujua?Walioediti mbona hadi leo hawajatiwa nguvuni au hawa kama tiki?
Nifundishe siuelewiUtaratibu wa vyombo vya kisheria unaujua?
Haikubaliki kwa nani?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!