Kama slow slowCcm ili wakupe nafasi sifa namba moja ni uwe mbumbumbu mzungu wa reli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama slow slowCcm ili wakupe nafasi sifa namba moja ni uwe mbumbumbu mzungu wa reli.
Unataka kusema mtoa uzi huu ni kilaza?Awamu i tuta wajua vilaza wengi sana umu JF
Huyu mchana CCM usiku CDM, yaani anaonekana kabisa hapa anazuga ili aonekane bado yupo kazini ndio maana unaona thread zake zimekaa kibangebange zaidiSasa kama huna uhakika kiherehere cha nini?
Bwashee thread zako siku hizi zimekaa kibange bange sana.
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!

Tupostie tuzione, siyo mkikaa kwenye vikao vyenu vya bangi na unga mkiwa arosto mnasimuliana kuna za kusagana mwanangu, hizi za mkono wa baunsa tumezionaZa kusagana je?
Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe
Walioediti mbona hadi leo hawajatiwa nguvuni au hawa kama tiki?Sikuwahi pata koneksheni, nilisikia na baada nikasikia jeshi la police wakisema imeeditiwa. Nikiipata nitajua
Yaani jina limekosa herufi moja tu "n" mahali fulani liakisi akili halisia ya mtoa bandiko hili?Ache kutetea mambo ambayo hayakubaliki kijamii na kisheria ili kuhalalisha matakwa ya masikio yenu. Imagine kama kila chama na mgombea akitumia njia hii nchi hii itakalika?
Sio halali kwako lakini wapiga kura wanatakiwa kujua wanachaguw watu ganiLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi sija sema ivyo.ila nina iunga mkono sentence yako [emoji850]Unataka kusema mtoa uzi huu ni kilaza?
Afadhali Mrisho alishinda kura za maoni lakini huyu porn star Gwajima alishindwa vibaya akawa nafasi ya 3 jiwe kamrudisha kwa vigezo vya ukabila..lakini Gwajima naye alikuwa anafikiria nini mpaka kutoa matamshi dhidi ya Waislamu?
..au kauli kwa waumini wake kwamba fedha za kununua treni zimepatikana.
..pia Jiwe anapaswa kutueleza kwanini Kamati Kuu imempitisha Mrisho Gambo baada ya kuwa amefukuzwa ukuu wa mkoa kwa sababu ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi. Tuhuma za rushwa, udini, na uchonganishi kazini.
Wajumbe walimnyima kura Porn star Gwajima mtoto wa warioba Ndio alishinda kwa kishindoMkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe
Mkuu lakini unaukubali utaratibu wa wagombea wa CCM pekee kupita bila kupingwa! Hebu pia wale muangalizo NEC haloLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Si nibora huko Kwa kuwa Huyo unayeshindwa kumtaja Jin lake ingawa unamfahamu atashinda,Wajumbe walimnyima kura Porn star Gwajima mtoto wa warioba Ndio alishinda kwa kishindo
Ila jiwe kamrudisha kwa kigezo cha ukabila
Sasa tupo njia panda 🐼
haukubaliki wapi?na nani?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Mimi ni mwana CCM pia ni MuislamuB
Bi kidude kashikwa pabaya. Bishop. Dr. Gwajima mbunge mtarajiwa wa Kawe.