Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Hata wao wakatafte hzo sauti,nadhan wako sahihi kwa sababu utawasaidia kujifunza kutumia ndimi zao na kujua kuwa unachokifanya leo kinaweza kuathiri maisha ya kesho
 
Kwa ksababu sio sauti zao au kwa ksababu ya nn?
 
Mkuu sasa wasipozitumia Sasa hivi watazitumia lini? Waache huu ndio wakati wao, wakikosa wanachokitafuta watakaa kimya tu. Wewe ndo utaonekana wa ajabu kubishana na nyumbu waliokimbilia hapa baada ya kunusurika na mafuriko ya mto mara.
 
Wewe Mbuzi tuu...vita ni vita jua hilo....jee ukamshauli kivip porn star kutumia jina ya legend wangu bibi kidude kwa mambo yake yakipuuzi??
 
Dada Joanita una vituko! Usitupangie namna ya kuendesha kampeni zetu! Miaka ile mnawaonesha wananchi picha za vita ya Burundi mlikuwa mnafanya vizuri? Wacha misumari waingie sawasawa inchi 6 hiyo! Na huku kwa Lissu tumetoka kuwasikilizisha zile kauli za majivuno za jiwe, wana Bukoba wametuelewa vizuri sana!
 

Hizo ni siasa za kiwango cha Kimataifa ambazo CCM huwa wanafundishwa na CDM

Hata style ya Lissu Jiwe na timu yake wamechanganyikiwa. Mwaka 2015 Jiwe alijifanya yeye hataki mambo ya helkopter atatumia barabara. Akijua mpinzani wake Lowassa alikuwa na changamoto ya afya asingeweza. Safari hii kakutana na mbabe wake. CDM wamebadili gia toka angani hadi ardhini. Lissu sasa anasimamisha nchi kila mahali anakopita, si mjini si vijijini. Jiwe kabaki kupiga show na wasanii tu, mwenzake anamwaga sera zenye kutekenya hisia za watu na kuwabadili mawazo kuachana na kulazimisha kumoenda Jiwe miaka 5 iliyopita.

Kura tarehe 28. Matokeo watayakalia kutafuta jinsi ya kuyabadilisha ili watangaze Jiwe kashinda. Baadae watasita kupima upepo. Watashindwa kujua upepo utavuma toka wapi kwenda wapi. Watacheki na vikosi vya polisi. Kisha vya jeshi. Baadae watawauliza tena TISS kama itakuwa shwari kulazimisha tena. TISS watagawanyika. Wengine watasema watangaze Jiwe kashinda. Wengine watasema watangaze tu ukweli wa matokeo ulivyo - ni Lissu. MaCCM yatapanic. Yatalazimisha watangaze liwalo na liwe. Wazee wataonya kwa mara ya mwisho nchi itaingia kwenye vurugu...sikio la kufa...

Twende kazi.. Tanzania will never be the same again.
 
Imebidi nirudi juu kuangalia aliyeleta huu uzi.

Afadhali ungeufuta maana unakufedhehesha. Huu uzi ni crap.
Joto likipanda hata uliowafikiria wanatoa substance unawashangaa. Johnbaptist amesha tumbukia shimoni anamfuata kaka yake Paskalli. Ulichosema kwa sauti yako mwenyewe ni ushahidi mzuri zaidi ya kuambiwa fulani alisema hivi kwani wakereketwa watakuambia mmetunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…