Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Aiseee, Mkuu umechafukwa sana
 
Ningekuona kuwa una 'Akili' zilizokutosha kama ungeanza 'Kuwakosoa' hao akina Rais JPM na Askofu Gwajima waache kuwa na 'Kauli' za Kifedhuli.
Ache kutetea mambo ambayo hayakubaliki kijamii na kisheria ili kuhalalisha matakwa ya masikio yenu. Imagine kama kila chama na mgombea akitumia njia hii nchi hii itakalika?
 
Haukubaliki vipi?

Lazima tuwakumbushe wananchi juu ya kauli mbovu na kihuni
 
Ache kutetea mambo ambayo hayakubaliki kijamii na kisheria ili kuhalalisha matakwa ya masikio yenu. Imagine kama kila chama na mgombea akitumia njia hii nchi hii itakalika?
Kwani kuna mtu kakatazwa kutumia?na nyie tumieni
 

Wewe kweli una wazimu unatakiwa u-report Mirembe!!!
Hakuna kosa lolote hapo zaidl ya kutapatapa kamfa maji! Maadamu hayo maneno yalitamkwa na Magufuli na Gwajima ni sahihi kabisa kutumia nukuuu zao...!
 
Na Badoo Wiki ya Mwisho wa Kampeni tunapita na Gari la sinema tukionysha Video ya Gwajima akila Mwanakondoo(Mkono wa Baunsa)

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 

Hawavunji sheria za nchi,kama audio au video hizo ni za wahusika kweli,na kwamba zilitolewa in public,wacha wazitumie tu.
Usiumize sana kichwa,au wewe ni Gwajima??au ni Gambo??
 
Bwasheee kunywa beer utulie
 
Mbona maneno yao wenyewe yakukere. Una shida gani? Itakuongezea nini kwenye kukosa ajira? Acha ujinga
 
Hizo sauti ni feki au halisi?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…