Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

mtoa mada nakkunga mkono.huko ni kuishiwa mbinu kabisa na kutaka kuwatia watu joto.unapotumia saut za viongoz,hatua zinaweza kuchukuliwa.tutoe wito kwa nec kuwakaripia hawa amani yetu kwanza
 
Ubaya wake ni nini,Kwani ameedit hizo sauti zao?Wewe nawe unakuwa kama shombo bwana.Si walitamka wenyewe?
 
Tena walipaswa watengeneze documentary zinazoonesha ujinga wa hawa watu
 

Sheria gani inakataza?
 
Kama amevunja sheria za nchi hii tukufu,basi wakawashtaki.lakini kama wenye sauti zao wamekaa kimya wewe ni nani hasa.NEC inaingiaje hapo kwamfano.
Waliongea wenyewe,dah ila social network SHIKAMOO.
Loading.......
 
Imebidi nirudi juu kuangalia aliyeleta huu uzi. Afadhali ungeufuta maana unakufedhehesha. Huu uzi ni crap.
Huyo nzi wa kijani toka lini ameleta uzi wa maana? Yaani uwe na akili halafu ushabikie CCM! Acha utani ndugu yangu!
 

Kwa nini sio halali?
 
Ingekuwa clip hizo ni za kughushi, hoja yako ingekuwa ya maana Sana.. lkn kama ni kweli walisema, uzi huu unajaza server bure
 
We Ngombe kwani Rais aliongea kwenye Baraza la Mawaziri au alikuwa anahutubia Taifa? Gwajima alikuwa chumbani au alikuwa anaongea na nyie waumini wake huku akijipambanua anaongea na Dunia nzima?
 
We Ngombe kwani Rais aliongea kwenye Baraza la Mawaziri au alikuwa anahutubia Taifa? Gwajima alikuwa chumbani au alikuwa anaongea na nyie waumini wake huku akijipambanua anaongea na Dunia nzima?
Mbona umefura sana manka?!
 

Wanatakiwa wakanushe hizo sauti kama siyo zao.....then NEC wataanzia hapo.
 
Kwa uzi huu bwashee umejiaibisha sana, kwa hiyo na clips za Nyerere tusizitumie, mbona hata kwenye daladala huwa zinawekwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…