Huu utekaji nyara wa watoto wetu mashuleni na mitaani kisha kunyofolewa viungo vyao, nani mhusika?

TUMIA AKILI WAHUSIKA NI WAHUNI WA CCM NDIYO MAANA KIPINDI CHA MZALENDO MAGUFULI UHUNI WA NAMNA HII ULIKOMA KUANZIA ALDINO KUULIWA ...UJAMBAZI ...PANYA ROAD NK ...TATIZO NI RAIS ALIYOPO
 
Kwa TANZANIA sasa imekuwa ni kawaida kila kunaposoge nyakati za uchaguzi, kunakuwa na tarifa nyingi za watu kupotea, kutekwa, kunyofolewa viungo na hasa walemavu wa ngozi hupotezwa saana

Nakumbuka, ilikuwa ni afadhari kidogo kwa utawala wa Magufuli tu basi
 
Inauma sana , binafsi nimeanza kuwa mlinzi binafsi ,jana nilikuta gari inambeba mtoto ,yule bwana nimemuuliza maswali magum ,kumbe alikua baba wa mtoto baada ya kupata ushahidi wa majirani eneo husika nami nikaondoka zangu ,ila yule bwana alinishukuru sana
 
Wanasiasa ni wahusika namba 1
 
Wana ccm ndio watekaji katika nchi hii
 
Uko vizuri kwenye kutunga vistori.
 
J4 na mimacho yake KODO anakwambia Dar ipo salama ,Masaani naye anakwambia waliotekwa wachache tu hawazidi wa5,kizimkazi anakwambia ni DRAMA.
 
Mnatekana nyie na watoto wenu hamna jipya ni drama tu mnaleta

Unateka mtoto wenyewe kazaliwa njee ya ndoa hana ata nyota ya bahati nani anateka mtoto asie kua na nyota ya bahati

Wengne watoto wamekimbia mateso ya wazazi mnasingizia wametekwa wakat watoto wamekimbia mateso wanayopitia ktk familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…