nipo kanda ya ziwa maeneo ya tarime kuna binti wa miaka 10 kapotea mwez huu unaenda wa pili,mwanza kituo cha polisi kuna mama mmoja kapotelewa na mtoto wa shemeji yake amekuja kutoa taarifa,pia tarime mtoto mmoja wa miaka 5 alipotea asubuh jion kaja kupatikana mazingira tata,mwingine ni binti wa miaka 9 inasemekana alitekwa had akaenda kenya akiwa amefungwa kitambaa usoni akaskia waliomteka wanabishana kuhusu bei ya kumleta pale kwa mnunuzi badae yule mnunuzi akadai alitaka mtoto wa kiume hivyo yeye wamtoe akapelekwa porini kisha akafunguliwa kitambaa usoni na kutelekezwa hapo,stori ni ndefu ila alirudi tarime yuo hoi.kimsingi mtoa mada ana hoja na hali hii huwa inaongezeka ikikaribia UCHAGUZI. rip asimwe