Tunatofautiana locations na usimamizi kaka,why usikope hela ukaboost biashara zako? Usikope bank,angalia Vicoba vyenye ukwasi jiunge huko.Mimi ni mtumishi pia
Nina biashara 4, moja wapo ni Gas na uwakala wa fedha.
Mbona naona mambo yanaenda japo mtaji ndio changamoto??
Maana nahitaji biashara ziwe kubwaa ili niachane na ajira niwe 24 hrs enterpreneur, sasa mtaji banaaa CHANGAMOTOOO
Sijui niibe kama mafisadi mil 200 papp halafu unapita hivi...!!!
Mtaji changamoto aiseee.
#YNWA
Fact 1.Tunatofautiana locations na usimamizi kaka,why usikope hela ukaboost biashara zako? Usikope bank,angalia Vicoba vyenye ukwasi jiunge huko.
Hizo hela wanazo pita nazo ni za makusanyo ya pos? Maana siyo kila mtumishi anayo access ya kupita na hela kwenye eneo lake la kazi. Mfano mwalimu atapata wap access ya kupita na mil 20 labda auze majengo ya shule.Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.
2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!
Kwahiyo inabaki 120k.
Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.
Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).
Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?
CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!
Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.
Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!
Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""
Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!
Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!
#YNWA
We elewa WALIPITA NAZO.Hizo hela wanazo pita nazo ni za makusanyo ya pos? Maana siyo kila mtumishi anayo access ya kupita na hela kwenye eneo lake la kazi. Mfano mwalimu atapata wap access ya kupita na mil 20 labda auze majengo ya shule.
Wakala wa makapuniNaomba japo nije nijifunze hiyo biashara, huenda nikatoka na faida kubwa kichwani.
Umeghair kwenda kusoma ughaibuni mkuu.We elewa WALIPITA NAZO.
Ngoja kwanza ipite bahati, wanasema bahati ni fursa ilikutana na maandalizi.
Hapa silaha zishaandaliwa, inasubiriwa vita tuu..!!!
Sheria za nchi hii lope hole ni nyingii, IKO SIKU.
Ndio itakuwa mwisho wa Ajira za CCM.
Nataka kuwa Tajiri na biashara ndio kimbilio sahihi..!!!
NB.
Usiibe bila kujua SHERIA.
Usiache ushahidi..!!
#YNWA
Masters inatoshaUmeghair kwenda kusoma ughaibuni mkuu.
Hata mimi natamani kujua zaidi. Mwenye uelewa wa hili jambo atusaidie ufahamuKuna watu wana hisa kwenye kampuni za kimataifa kama Amazon,Google,Apple Cocacola etc,natamani sana kujua uwekezaji huko upoje,Kuna Daktari bingwa mmoja aliniambia yeye alinunua hisa za kampuni ya mafuta wakati anasoma Russia na gawio alikuwa anapata mpaka vita ilipokuja kuharibu mambo.
Maeneo yapo,ila risk ni kubwa kupoteza hata huo mtaji wako ni dakika sifuri. Bonds na UTT return ni ndogo lakini ni zero Risk..
Na siku utakayo jaribu wewe my friend kwishaaaa 😂😂Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.
2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!
Kwahiyo inabaki 120k.
Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.
Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).
Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?
CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!
Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.
Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!
Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""
Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!
Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!
#YNWA
Kwa hesabu zangu kwa miezi 15 ingerudisha pesa ya pkpk 3.5M, na ziada ya 1,960,000Mie biashara ya boda boda kiujumla huwa naona ni kichaa.
Huwa wanasema ukitaka ikulipe usinunue pikipiki mpya,nunua kuu kuu alafu ifanyie marekebisho.
Masters inatosha
Ngoja niendelee kutafuta hela.
Kwangu kuwa tajiri ni LAZIMA.
Msoto wa uyatima ulinifundisha mengi.
PESA ndio KILA KITU.
""If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and Jobless""
#YNWA
Life is full of RISK.Na siku utakayo jaribu wewe my friend kwishaaaa 😂😂
Hakika Monk.Na pia biashara sio Kila mtu anaiweza.
ni sawa na faida ya 130k kwa mwezi,sio mbaya..je kwa hesabu zake?Kwa hesabu zangu kwa miezi 15 ingerudisha pesa ya pkpk 3.5M, na ziada ya 1,960,000
Hakika... Sweetheart...
Hesabu zake miezi 15 ni 4,550,000ni sawa na faida ya 130k kwa mwezi,sio mbaya..je kwa hesabu zake?
Elfu sabini kwa mwezi...hii hesabu sio mbaya kama itaenda kama ilivyo kwenye makubaliano,UTT ukiweka hiyo 3.5m unapata elfu 35k kwa mwezi na usalama wa pesa yako ni asilimia mia.Hesabu zake miezi 15 ni 4,550,000
Pkpk 3.5M baki 1,050,000
Hii kwangu haifiki akilini