Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya kujadili uwekezaji ambao ni rafiki kwa Waajiriwa

Kwanini kondoo na mbuzi boss? Kwanini sio Ng'ombe,Nguruwe kuku n.k?
Mbuzi ni rahisi kuanzisha mradi wake, hauhitaji mtaji mkubwa sana, let say milioni tatu ya hata mbili unaweza kuanza nayo. Lakini pia usimamizi wake sio complicated. Ni mradi mzuri sana.
 
Mbuzi ni rahisi kuanzisha mradi wake, hauhitaji mtaji mkubwa sana, let say milioni tatu ya hata mbili unaweza kuanza nayo. Lakini pia usimamizi wake sio complicated. Ni mradi mzuri sana.
Ngoja nijaribu kutafiti hii kitu,kuna mtu katuma video ya youtube kwenye huu uzi kuhusu ufugaji wa mbuzi.
 
Ni sacrifice tu mkuu, hata uongezewe 1M kwenye huo mshahara wako after few months, ukishaadopt maisha mapya ya kipato cha juu basi utaona pia hup haukutoshi.

Hata kama unapata laki mbili basi hiyo hiyo jitahidi kusave hata 50k.
Mkuu umesema kitu kikubwa na cha kuzingatia sana. Hili jambo nina ushuhuda nalo aisee
 
Mkuu kujilipa inabidi uwe na kipato cha ziada,wafanyakazi wengi mshahara hautoshi hata mahitaji muhimu,hela ya kujilipa na kusave unatoa wapi?
Mkuu ukiwa na mawazo haya hautakaa ubaki hata na sh mia kutoka kwenye salary yako.......

Panga, amua, tekeleza
Kwa kuanzia tu, kuwa na account ambayo hauna access ya haraka inaweza kuwa fixed au yoyote mie nna junior account, kajaze ile huduma ya kukatwa salary pesa iingie huko, kama unajijua kabisa pesa ikifika mkononi hauwezi kuisave.

Hii ni kwa kuanzia utajikuta unajipay kwanza....
 
Fact 1.
1. Mwaka fulani nilipata(ga) changamoto kubwaa ya familia kubwaa sanaaa, na ukicheki shida aliipata dada angu na sisi hatunaga wazazi tokea kuzaliwa huko, hivyo mimi ndio nilikuwa kimbilio lake, ilinibidi nikope mil kadhaa kumuokoa, nikabaki na 1/3 ya mshahara na mpaka leo dada angu yupo happy matatizo yaliisha.

2. Mwaka unaofata si waseng(e) Loan board wakanidaka ""Mdaiwa sugu mama eeee"" dah wanachukua chao mpaka leo...!!!

Kwahiyo inabaki 120k.

Fact 2.
Mimi bana ni mtu ambaye siamini kwenye kuweka hela ikalala
Mambo ya UTT, FAIDA Fund nilijaribu yakanishinda nikatoa hela ikaingia kwenye mzunguko.

Nyumba sijengi na sihitaji (kwangu nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa).

Sasa ni bank gani inayokopesha bila dhamana?

CONCLUSION
Nilichoamua, Yaani hapa nikiona tu tobo la mil 100 na ziadi, Haki ya Mungu napita nayo..!!!

Nina mshkaji wangu mmoja alipita na Mil 30, PCCB wakamdaka.
Mwaka Jana kesi imekuwa concluded hana hatia hivyo KARUDI KAZINI FRESH na wakati wa kesi inaendelea alikuwa kazini sema alikuwa amebadilishiwa kituo.

Hivyo Mil 30 kapita nazo, mshahara kaendelea kupokea na hatia hana..!!

Kuna mwengine mdada Mil 20..!!!
Nae mahakama ilisema ""HANA KESI YA KUJIBU""

Huwa wananiwazisha hawa wajuba...!!!

Umasikini ni laana, ngoja tusome ramani...!!!

#YNWA
...
 
Mkuu ukiwa na mawazo haya hautakaa ubaki hata na sh mia kutoka kwenye salary yako.......

Panga, amua, tekeleza
Kwa kuanzia tu, kuwa na account ambayo hauna access ya haraka inaweza kuwa fixed au yoyote mie nna junior account, kajaze ile huduma ya kukatwa salary pesa iingie huko, kama unajijua kabisa pesa ikifika mkononi hauwezi kuisave.

Hii ni kwa kuanzia utajikuta unajipay kwanza....
mimi binafsi huwa nasave mwenyewe,ndio kitu cha kwanza nafanya mshahara ukiingia,nafanya hivi sababu nakuwa na uhuru wa kutunza hela kulingana na majukumu ya mwezi husika...sometimes nasave more sometimes less.
 
Tatizo letu kubwa ni kuishi juu ya kipato, hapo tu ndo tunafeli. Na kutoka hapo ni mtihani sio kidogo.
Tunaishi juu ya kipato au kipato hakitoshi kukidhi basic needs? nadhan sababu tunatofautiana vipato na matumizi ni ngumu kuweka hitimisho katika hili
 
Tunaishi juu ya kipato au kipato hakitoshi kukidhi basic needs? nadhan sababu tunatofautiana vipato na matumizi ni ngumu kuweka hitimisho katika hili
Yote ni majibu kulingana na hali unayopitia ndgu.
 
Njia ya kutafuta uhuru wa kifedha ni ngumu sana kuipita inahitaji utayari wa moyo na akili coz changamoto ni nyingi sana katika kufikia uhuru wa kifedha
 
Njia ya kutafuta uhuru wa kifedha ni ngumu sana kuipita inahitaji utayari wa moyo na akili coz changamoto ni nyingi sana katika kufikia uhuru wa kifedha
Kiyosaki anasema Elimu ya fedha haifundishwi mashuleni,ndio maana mpaka Watu wenye Elimu kubwa hawana uhuru wa kifedha,anasema inafundishwa kwa wachache kwenye dinner tables na sitting rooms.
 
Nje ya mada: Mimi sio Mfanyakazi lakini ni wazi siku hizi wafanyakazi mmeamka sana kujiwekeza na ujasiriamali kwa ujumla. Zamani mtu alikuwa akiwa mfanyakazi basi anaridhika sana na kazi yake. Sikuhizi wafanyakazi ndio watu wadadisi sana kwenye mabiashara yetu. Hongereni sana.

Mwisho: Biashara au uwekezaji ni tabia, tunazijenga, zinatujenga. Hakuna kizuizi kuwa mfanyakazi na kuwa na "side hustle", usikubali kukaa kizembe. Kila la kheri jameni.
 
Kuna biashara zinalipa hapa Bongo, lakini mnajifanya hamzioni: kuwa nabii au mtume, kuwa mganga wa kienyeji, kuwa chawa.
 
Nje ya mada: Mimi sio Mfanyakazi lakini ni wazi siku hizi wafanyakazi mmeamka sana kujiwekeza na ujasiriamali kwa ujumla. Zamani mtu alikuwa akiwa mfanyakazi basi anaridhika sana na kazi yake. Sikuhizi wafanyakazi ndio watu wadadisi sana kwenye mabiashara yetu. Hongereni sana.

Mwisho: Biashara au uwekezaji ni tabia, tunazijenga, zinatujenga. Hakuna kizuizi kuwa mfanyakazi na kuwa na "side hustle", usikubali kukaa kizembe. Kila la kheri jameni.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha Akili,Mishahara haitoshi ndio maana watu wanaamka,wanasaka maarifa ya biashara na uwekezaji. Lakini Bado hatujafika kule tunataka,Lengo ni kufikia financial freedom.
 
Back
Top Bottom