GT
Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote.
Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu.
Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo tumekatazwa kuhesabian.
View attachment 3404282