Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
baba salehe na degree zake 3 bdo naishi maisha y kuvizia msosi.....baba swalehe bilionea ambae kapanga nyumba ya NHC na hana mkopo bank sijui ni bilionea wa namna huyu au bilionea wa maselfie nini
 
Yaani basi hawajui le mutuz anafaa sana kutokea kwenye video.....
 
Acheni kumjazia nzi nikki... Huwezi kamwe kumshindanisha msomi na msanii wa kweli na hiyo sakala mitumbotumbo Mkuu

Acheni kutia najisi heshima za watu
Le gadem si ana degree zake tatu au tatizo tumbo ??
 
JF bwana, kwa hiyo Le Mutuz ndio Baba Swaleh? Nimecheka sana aiseeh...

Ova
 
Baba swalehe.... kwikwikwikwikwikwi

atakua anko wake yahhaya

Gademu!!
 
Baharia acha uwongo n kupenda sifa za kijinga....kwahiyo ukiwa n followers insta ndio unamake money....huo umbulula n upopoma wako kawaambie watoto wko
 
Teh Teh
 
Baharia acha uwongo n kupenda sifa za kijinga....kwahiyo ukiwa n followers insta ndio unamake money....huo umbulula n upopoma wako kawaambie watoto wko
Hahahaha legadem debe tupu hujui lolote uknw....
Uknw hii business ya social media ni ya le akili kubwaz uknw...

Back to topic uknw kuanzia leo atakaye niita le Baba swalehe nitamfunga mara moja uknw am serious...

Lemutuz...
 
hahaaa le super bilionea wa mabox a.k.a baba swalehe hana jipya tulishamzoea hujasikia kapata ticket y bure kwenda dubai.....ndio bilionea no 1 tz kwa kupenda vya bure
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…