iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 339
Lol..Guys mkiwa mnasoma msisomee ubaharia maana lazima mkafanye field baharini...sasa mnajua mambo ya mabaharia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI LI-KITU LIKUBWAZLe mutuz ndo nini???
bado tu hazijafunguka?Hizo picha mbona kwangu hazifunguki[emoji30] [emoji16]
sio umekojoa... umejikojoleaHa ha hahahaha nimecheka mpaka nimekojoa!
Zimefunguka,namuona Le mbebezzzbado tu hazijafunguka?
ha ha ha ha tisha jombaaHahahaha legadem debe tupu hujui lolote uknw....
Uknw hii business ya social media ni ya le akili kubwaz uknw...
Back to topic uknw kuanzia leo atakaye niita le Baba swalehe nitamfunga mara moja uknw am serious...
Lemutuz...
Baharia acha uwongo n kupenda sifa za kijinga....kwahiyo ukiwa n followers insta ndio unamake money....huo umbulula n upopoma wako kawaambie watoto wko

Hahahahaaa dah watu mna vituko sana aiseeNI LI-KITU LIKUBWAZ