Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Huu wimbo wa Nikki na Joh Makini ni Dongo kwa Le Mutuz?

Status
Not open for further replies.
Le mutuz nipo Dodoma naomba tukutane tupige picha na mie niuze kwenye social media
 
Le mtambiz, le plate kubwaz.... at downtown double tree hotel
 
hapa anajihelp au?

99f18b63d2401014ab0141a26f3722d8.jpg

Kama anaachia Kimb... vile
 
MSAGA SUMU ningemjua bi mkubwa wako ningemtumia vocha kama asante ya kukuleta wewe kiumbe duniani....daaah mbavu sina.
 
Hahahaha legadem debe tupu hujui lolote uknw....
Uknw hii business ya social media ni ya le akili kubwaz uknw...

Back to topic uknw kuanzia leo atakaye niita le Baba swalehe nitamfunga mara moja uknw am serious...

Lemutuz...
ha ha ha ha tisha jombaa
 
Baharia acha uwongo n kupenda sifa za kijinga....kwahiyo ukiwa n followers insta ndio unamake money....huo umbulula n upopoma wako kawaambie watoto wko

- Well, siku nitakapokuwa na sifa za kijinga nitakuwa nimekufwa, as long as I live sijawahi kuwa na unafiki wala uongo sio part of my life, I make Millions from my Instagram, Facebook, Twitter and my Blog kwa pamoja hizi tools zinaunda my Company Blogu ya Wananchi Media Compan y LTD. Nikudanganye wewe mtu sikujui ili unisaidie nini? hahahahaha pole sana mburulazzz ni kujifanya kujua as you na huku hujui lolote, by the way ratiba yangu ni kwenda Dubai Study Tour ya Emirates na kurudi kufanya bonge la Sherehe maalum ya kampuni yangu kufikisha miaka 3.
- Otherwise Jumamosi nilikuwa na Nickwa pili at party ya Clouds Escape One picha hii hapa chini, unajua wanaume wazima mnapokuwa na tabia kama hizi za uzushi uzushi na umbeya umbeya inaleta maswali mengi sana like what went wrong na this nation Watoto wa kiume wanakuwa hivi? hahahahahahaha U know!!

Le Big Show


 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom